NdioHio ya ORCI walikua wanataka wawili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioHio ya ORCI walikua wanataka wawili?
Lakini zinamaana yake mzee kama umepitia huko juu nadhani umeona comment selected for oral kwenye app not selected forHahaa
Basi hao wawili wa selected for kwenye app na kwenye website wana selected for oral[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio afu kwenye app wawili selected for watatu not selected for
Aliyepata status inasomaje? Nimedandia treni kea mbeleNaelewa mkuu, nimeuliza tu.
Bado matokeoAliyepata status inasomaje? Nimedandia treni kea mbele
Hapana shortlisted ndo Zina selected for kiongoziBasi hao wawili wa selected for kwenye app na kwenye website wana selected for oral
Nipendekezo nadhani halijapitishwaNasikia Sasa hivi kukaa database utumishi Ni ndani ya mwaka mmoja.
Ni kweli?
😂😂😂😂Utalamba umeme kiongoziAliyepata status inasomaje? Nimedandia treni kea mbele
Nafikiri katika zile shortlisted labda kuna zingine zinakuwa databaseHehe usiogope mkuu
Orci mrija wa asali mkubwa sana...unakuhusuHapana shortlisted ndo Zina selected for kiongozi
Ngoja tuone final conclusion, time will tell.Nafikiri katika zile shortlisted labda kuna zingine zinakuwa database
Akili yangu inaniambia hivi shortlisted ni kufaulu oral, ukiwa shortlisted then unaweza either kupangiwa kazi au kukaa database.Nafikiri katika zile shortlisted labda kuna zingine zinakuwa database
Kwani watu washaitwa kazini???Ndio
😂😂😂😂Utalamba umeme kio
😂😂😂😂Kwamba wewe ni utumishi mzee?Orci mrija wa asali mkubwa sana...unakuhusu
😂😂😂Sijakusoma
Rikiboy wa kimasihara huyu?!!!Kwani watu washaitwa kazini???
Bado mzee la post zingne lakin yangu badoKwani watu washaitwa kazini???