Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Kwamba CPA ziko chache sana Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba CPA ziko chache sana Tanzania?
Bakita, Sijui na nyingine sizijui vizuriWametoa taasisi gani leo
Poa poaBakita, Sijui na nyingine sizijui vizuri
Hii wiki na kuendelea mpaka mwisho wa mwezi zote hazipoi placement zinapandishwaPoa poa
Waweke tu tukachukue barua zetuHii wiki na kuendelea mpaka mwisho wa mwezi zote hazipoi placement zinapandishwa
Watakuwepo tu sema wengi wanakaa kimyaWadau kuna aliyedufua humu kweye hiz placement alizopandosha Leo yule mwamba ?
Sema wanawapa Watu presha sana wanatoa nusunusu yani unadownload alafu unasachi jina ,unaona no match then unaanza kusoma tangazo unaona Taasisi unayosubiria haipoooHii wiki na kuendelea mpaka mwisho wa mwezi zote hazipoi placement zinapandishwa
Soon bro utafurahSema wanawapa Watu presha sana wanatoa nusunusu yani unadownload alafu unasachi jina ,unaona no match then unaanza kusoma tangazo unaona Taasisi unayosubiria haipooo
Ni kweli🤣🤣 mtu akishaona jina lake anapoteaWatakuwepo tu sema wengi wanakaa kimya
😂😂😂😂😂Wanazingua sana aseeh jobless tunateseka sanaSema wanawapa Watu presha sana wanatoa nusunusu yani unadownload alafu unasachi jina ,unaona no match then unaanza kusoma tangazo unaona Taasisi unayosubiria haipooo
Wanapotea na hawasemi chochote 😂😂😂😂😂nadhani ni furaha tu yakupata kaziNi kweli🤣🤣 mtu akishaona jina lake anapotea
😂😂😂😂Hahhhhh duniani haipo fairBaadaye mtazoea, tunasubiri placement kwa miezi sita na hatujakata tamaa
Kuchanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣Wanapotea na hawasemi chochote 😂😂😂😂😂nadhani ni furaha tu yakupata kazi
Yani miez inakatika kama utani na hatufi🤣Baadaye mtazoea, tunasubiri placement kwa miezi sita na hatujakata tamaa
Jobless akishaona jina tu anaanza kuwaza kula mbususu zilizomsumbua zamaniKuchanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣