Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii race ya mrija wa Asali ni noma sana, imejaa mambo mengi.

Kuna wenye bahati zao(hawahangaiki kuisaka sana)

Na kuna akina sie(wakandwaji lazima majasho yatutoke kwanza ndipo tuweze kutusua)
😂😂😂😂Kuna wakati unaweza kujiona una mkosi lakini nilichojifunza huwa tunafosi kupata sehemu ambazo Mungu hajatupangia kupata mzee ,amini nakwambia kama Naot ndiyo ingetangulia kutoka basi ungefaulu mapema sana maana ndipo ulipoandikiwa kwenda
 
Mkuu, ile ofisi kupenya ni vigumu nikijitathmini ila tusubiri lolote litakalotokea lakini kubwa zaidi naomba nisikosekane kanzi data ingawa huwa hatuwezi kujua kama tumewekwa isipokuwa PDF tu ndio huwa inatujuza
Niamini mimi mzee ile nafasi ni yako kwa njia yoyote ,ulivyotoka written nilikwambiaga jiandae na oral na hii nakwambia andaa suti ukachukue barua ya kazini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wakati unaweza kujiona una mkosi lakini nilichojifunza huwa tunafosi kupata sehemu ambazo Mungu hajatupangia kupata mzee ,amini nakwambia kama Naot ndiyo ingetangulia kutoka basi ungefaulu mapema sana maana ndipo ulipoandikiwa kwenda
Mimi naona NaOT shortlist yake kutoka ya mwisho imekuwa na faida kwangu, sababu tayari nilikuwa nimepata uzoefu kwa kukandwa zilizotangulia na nilibahatisha maswali 2 yaliyotokaga pale CIVE.
 
Ndo ilipangwa upate hiyo maana kama siyo hivyo ingetoka mwanzo siungeikosa kama zingine kwahiyo hiyo ni yako mzee amini Mungu hakoseagi anakusubilisha ili uende alipopanga yeye
 
Niamini mimi mzee ile nafasi ni yako kwa njia yoyote ,ulivyotoka written nilikwambiaga jiandae na oral na hii nakwambia andaa suti ukachukue barua ya kazini
Huu utabiri wako wa sasa bado naukataa sana, maana mambo yanaweza kugeuka kama kwenye betting mkeka ukachanika dk ya 90+5[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3]
 
Stress zitanimaliza ndugu yenu hawa jamaaa kimya afu mwezi ujao natakiwa kama tarehe 10 nilipe laki 3 Kodi jamani Sasa Kwa kweli nalipa Kodi then napelekwa kigoma nakua nimepoteza Hela yangu nikilipa Kodi basi waacha tukae hata miezi 3 ndo wapige simu
😂😂😂😂😂hahhhh kama home ni karibu peleka vitu home mzee Kodi miezi sita nyingi sana ,sema nyie mnaanza mwezi ujao kuelekea wakwanza
 
Daahh watu wanauliza hivi aisee..

Kuna jamaa alipost picha ya enzi za chuo watu walikuwa wamekusanyika kwenye kimbweta wakidiscuss kwa ajili ya kwenda kupiga pepa.

Hiyo picha imetukumbusha mbali, watu wakaanza kukomenti.

Wengi katika picha wapo kwenye mirija ya Asali ya uhakika.

Sasa mwingine kauliza hivi, mimi ambaye ni jobless nikajiona mnyonge sana, game limenikalia tenge nipo kwenye relegation zone ya msimamo wa ligi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Tupambane aisee majobless!View attachment 2421297
Daaaah
Mimi hadi naona aibu na sijui kosa langu lipi!
Hadi naona soo kuchangia kwenye magroup ukizangatia mm ndo nilikuwa mbabe wao!
Kweli maisha ni kombolela
 
😂😂😂😂😂hahhhh kama home ni karibu peleka vitu home mzee Kodi miezi sita nyingi sana ,sema nyie mnaanza mwezi ujao kuelekea wakwanza
Utoe vitu dar upeleke Mwanza?? Nitavihonga hivi vitu vyangu mkuu Kuna demu alishanisamini sana na jobless Sina kitu dah mungu amlindee tu Kwa kweli Bado naye anajitafuta tafuta Hana kitu namwachia vyoteeeeeeee mie nabeba computer,nguo na mziki wangu basi
 
😂😂😂😂Huyu manzi lazima apate raha kwenye ile Subaru kaka lakini nafikiri utapangiwa dodoma au dar subiria mwezi ujao wataanza kuwapigia masomo yao ndo yanaanza
 
Ndo ilipangwa upate hiyo maana kama siyo hivyo ingetoka mwanzo siungeikosa kama zingine kwahiyo hiyo ni yako mzee amini Mungu hakoseagi anakusubilisha ili uende alipopanga yeye
Basi tuishi kwenye subira ya PDF tutajua mbivu na mbichi.

Ila nikiwacheki jamaa zangu waliowengi washapiga hatua aisee.

Ninapoishi kuna kiwanda karibu cha kutengeneza dawa za mifugo, miaka kadhaa imepita kumbe jamaa yangu(class mate) anapiga kazi pale na kashakuwa promoted kawa Manager wa Quality Control,

Kuna siku mida ya saa moja asubuhi nikiwa kwenye harakati za kuelekea kijiweni natembea barabarani, IST ikaja kutoka nyuma, nikasogea kuipisha ilipokaribia ikasimama na kioo kushushwa chini, nikasikia sauti nilipoangalia nikakuta ni classmate.

Nikamsogelea kumpa hai nikamuuliza anakoelekea akaniambia anaenda pale kiwandani, nikamsindikiza kwa kunipa lift maana mwenyewe nilikuwa napitia pale kiwandani niende kijiweni.

Kwenye kumuuliza kaanza lini kazi, kaniambia ameanza miaka kadhaa nyuma, mimi nikabaki kujikaza kujielezea jinsi ninavyopigika kijiweni ili angalau nionekane nipo kwenye game[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], huku moyoni nikigubikwa na unyonge wa kujiuliza "nakwama wapi"

Wengine tupo kama mabeki kwenye mpira ambao kufunga goli unaweza ufunge moja tu msimu mzima, huku wengine wakijinyakulia Golden shoe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh kweli jobless haaminiki hata kwenye utabiri ,hii nafasi ni yako kaka tupo hapa utakuja kuniambia
Lini jobless akathaminika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwenye vikao vya familia si unajua kazi ya jobless...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Basi tuishi kwenye subira ya PDF tutajua mbivu na mbichi.

Ila nikiwa heki jamaa zangu waliowengi washapika hatua aisee.

Ninapoishi kuna kiwanda karibu cha kutengeneza dawa za mifugo, miaka kadhaa imepita kumbe jamaa yangu(class mate) anapiga kazi pale na kashakuwa promoted kawa Manager wa Quality Control,

Kuna siku mida ya saa moja asubuhi nikiwa kwenye harakati za kuelekea kijiweni natembea barabarani, IST ikaja kutoka nyuma, nikasogea kuipisha ilipokaribia ikasimama na kioo kushushwa chini, nikasikia sauti nilipoangalia nikakuta ni classmate.

Nikamsogelea kumpa hai nikamuuliza anakoelekea akaniambia anaenda pale kiwandani, nikamsindikiza kwa kunipa lift maana mwenyewe nilikuwa napitia pale kiwandani niende kijiweni.

Kwenye kumuuliza kaanza lini kazi, kaniambia ameanza miaka kadhaa nyuma, mimi nikabaki kujikaza kujielezea jinsi ninavyopigika kijiweni ili angalau nionekane nipo kwenye game[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], huku moyoni nikigubikwa na unyonge wa kujiuliza "nakwama wapi"

Wengine tupo kama mabeki kwenye mpira ambao kufunga goli unaweza ufunge moja tu msimu mzima, huku wengine wakijinyakulia Golden shoe
Kweli mkuu Kikubwa kuomba mungu
 
Stress zitanimaliza ndugu yenu hawa jamaaa kimya afu mwezi ujao natakiwa kama tarehe 10 nilipe laki 3 Kodi jamani Sasa Kwa kweli nalipa Kodi then napelekwa kigoma nakua nimepoteza Hela yangu nikilipa Kodi basi waacha tukae hata miezi 3 ndo wapige simu
Mueleze maza/Faza hausi kuwa unasikilizia mchongo then umwambie unalipa ya mwezi 1 kwanza, mwezi ukiisha bado mambo bila bila lipa tena ya mwezi 1, ukiitwa ndipo maamuzi mengine yatafuatia ambapo yatategemeana na utakapopangiwa kituo cha kazi
 
Basi tuishi kwenye subira ya PDF tutajua mbivu na mbichi.

Ila nikiwa heki jamaa zangu waliowengi washapika hatua aisee.

Ninapoishi kuna kiwanda karibu cha kutengeneza dawa za mifugo, miaka kadhaa imepita kumbe jamaa yangu(class mate) anapiga kazi pale na kashakuwa promoted kawa Manager wa Quality Control,

Kuna siku mida ya saa moja asubuhi nikiwa kwenye harakati za kuelekea kijiweni natembea barabarani, IST ikaja kutoka nyuma, nikasogea kuipisha ilipokaribia ikasimama na kioo kushushwa chini, nikasikia sauti nilipoangalia nikakuta ni classmate.

Nikamsogelea kumpa hai nikamuuliza anakoelekea akaniambia anaenda pale kiwandani, nikamsindikiza kwa kunipa lift maana mwenyewe nilikuwa napitia pale kiwandani niende kijiweni.

Kwenye kumuuliza kaanza lini kazi, kaniambia ameanza miaka kadhaa nyuma, mimi nikabaki kujikaza kujielezea jinsi ninavyopigika kijiweni ili angalau nionekane nipo kwenye game[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], huku moyoni nikigubikwa na unyonge wa kujiuliza "nakwama wapi"

Wengine tupo kama mabeki kwenye mpira ambao kufunga goli unaweza ufunge moja tu msimu mzima, huku wengine wakijinyakulia Golden shoe
😂😂😂Kawaida hiyo mkuu wewe mwakani mwezi wa12 unanunua Subaru sio Ist
 
Back
Top Bottom