๐๐๐me nna interview kama zote jmosi zipo tatu sema zipo muda mmoja hiyo placement mpaka mwezi ujaoSi unasubria placement au kuna nyingine bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐me nna interview kama zote jmosi zipo tatu sema zipo muda mmoja hiyo placement mpaka mwezi ujaoSi unasubria placement au kuna nyingine bado?
afu kumbe unajua kabisa jobless nimepanda viwango nasubiri placement halafu hauji pm aseeh utapishana na gari ya mshahara mkuu๐๐๐๐๐Si unasubria placement au kuna nyingine bado?
UhakikaIkawe kheri
Tusubirie kufikia saa nne usikuSubira iendelee, hadi muda huu mambo ni bila bila kwenye ubao wa wakandaji
Uhakika sio ๐คฃ๐คฃ ngoja jobless angalie status aone hola ๐คฃ๐คฃVery soon
Nina uhakika na nnachokisema kiongozi๐๐๐
Ishafika na kukaribia kupita, ebu chungulia ubao, mzee wa flash huenda kajikuna[emoji3][emoji3]
Yupo busy TBC 1 na game ya Belgium na Canada, kambetia canadaIshafika na kukaribia kupita, ebu chungulia ubao, mzee wa flash huenda kajikuna[emoji3][emoji3]
Nasikia tareh 26 laweza tokea jamboKweli ngoja waje watatoa tu nafikiri zile za TRA zitatoka sio muda
Kila siku tareh zinapelekwa mbeleNasikia tareh 26 laweza tokea jambo
Haya mambo yanahitaji uvumilivu sanaKila siku tareh zinapelekwa mbele
Siku wiki hadi miezi inakatika daaah
Nan kakudanganya bro??[emoji3][emoji3]Nasikia tareh 26 laweza tokea jambo
๐๐๐๐Wazeee wa Status naona mnaota sasa hv
Nchi ngumu sana hii tulio nje ya system ni maumivu kwa kwenda mbele kila uchwaoKila siku tareh zinapelekwa mbele
Siku wiki hadi miezi inakatika daaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088]afu kumbe unajua kabisa jobless nimepanda viwango nasubiri placement halafu hauji pm aseeh utapishana na gari ya mshahara mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmeskia tu๐ ๐ bt apo kwenye bro enewei๐Nan kakudanganya bro??[emoji3][emoji3]
Hahahaha mwambie atengue kauliNmeskia tu[emoji28][emoji28]bt apo kwenye bro enewei[emoji119]
๐๐๐๐Uhakika mwakani nitakupa lift kwenye Subaru yangu na suti ya blue kaliii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
๐๐๐๐๐Huu mwandiko wakike kabisaaa sema jina sasa ndo lakiumeNmeskia tu๐ ๐ bt apo kwenye bro enewei๐