Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naomba kutoa ushuhuda.

Mwaka jana na huu mzima nilikua nikipambania mrija wa asali.

Kuzunguka mikoa kadhaa ya hapa Tanzania kufanya interview mbalimbali

zote nilikosa/kufeli

Mwaka huu nilifanya interview za utumishi kadhaa, nilikosa na baadhi niliingia oral

Na leo hii mojawapo Mungu kabariki nimepata placement.

Unapofika kwenye ile mitihani ya written jaribu sana kujibu maswali yote, elezea na point zako, usimention tu. Ukifika oral pia vaa vizuri, jielezee kwa confidence, jibu maswali yote, zidi kuomba sana.

ni kweli watumishi wanachelewa kutoa placement ila wakitoa machungu yote unasahau asee



Wakuu msichoke kujaribu na kuomba asee. Mungu ni mwema siku zote atawabarikia.

Siri kubwa ipo humu wakuu : Ora et labora yaani pray and work

NOTE: lile swala la shortlisted, mimi taasisi niliyochaguliwa iliandika shortlisted mpaka sasa
zile nilizokosa zimeandika selected for oral interview




View attachment 2431134
Aisee nimejikuta nafurah kwa ajili yako brooo,hongera Sana sana.kila la khery bro..how do you feel by the way
 
Back
Top Bottom