😂😂😂😂😂Kaka situlikubaliana status hazina maana ushaanza kutugeuka tena?🤣🤣 ntavimbiwa bure nianze kujamba jamba ovyo...huu ni mkando nishaupokea 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Kaka situlikubaliana status hazina maana ushaanza kutugeuka tena?🤣🤣 ntavimbiwa bure nianze kujamba jamba ovyo...huu ni mkando nishaupokea 🤣🤣
Ah naona nakaza fuvu bure tu 🤣🤣 ushuhuda unaonyesha shortlisted wamekula mrija wa asali😂😂😂😂😂Kaka situlikubaliana status hazina maana ushaanza kutugeuka tena?
😂😂😂😂Baba jeni bye bye upo data base sasaAh naona nakaza fuvu bure tu 🤣🤣 ushuhuda unaonyesha shortlisted wamekula mrija wa asali
🤣🤣 imeisha hiyo tusbirie nyingine panapomajaliwa😂😂😂😂Baba jeni bye bye upo data base sasa
Hahaha pale ni tofauti na office ya mkurungenzi ilipo ila zote zipo mtaa mmojaNilipita juzi pale sijui wamefunga sikuona wanafunzi
amna subiri pdf🤣🤣 imeisha hiyo tusbirie nyingine panapomajaliwa
basi gud lakini nafikiri mtaitwa mwezi unaoanza maana mwezi wa kwanza si ndo masomo yanaanzaHahaha pale ni tofauti na office ya mkurungenzi ilipo ila zote zipo mtaa mmoja
Na wawe wamekamlisha kila kitu check no iwe tayari sio Tena tunaenda kufanya kazi miezi 3 bila mshahara itakua uhunibasi gud lakini nafikiri mtaitwa mwezi unaoanza maana mwezi wa kwanza si ndo masomo yanaanza
Kama masomo hawajanzaa Bhac Haina shida sikilizia. Nilijua wanafunzi wameanzaa kusoma. wakikuita ss hv ni Unyonyaji Huo Cheque itanzaa kusoma mshahara wa December na Haupo kituoni Bado Mpya kabs kwny mrija.Na wawe wamekamlisha kila kitu check no iwe tayari sio Tena tunaenda kufanya kazi miezi 3 bila mshahara itakua uhuni
Kwa nini watu wa IT peke yao ndio hazibadiliki?.😂😂😂😂Amna nyie wa IT hazibadilikagi kaka
Status haziko serious Kama wao wasivyokua serious, wanaend kwenye oral wamevaa bukta! JOKEKwa nini watu wa IT peke yao ndio hazibadiliki?.
😂😂😂😂Hahhhhh kijana wa hovyo sana weweStatus haziko serious Kama wao wasivyokua serious, wanaend kwenye oral wamevaa bukta! JOKE
Kama masomo hawajanzaa Bhac Haina shida sikilizia. Nilijua wanafunzi wameanzaa kusoma. wakikuita ss hv ni Unyonyaji Huo Cheque itanzaa kusoma mshahara wa December na Haupo kituoni Bado Mpya kabs kwny mrija.
Kwa mantiki hiyo endelea na kawaida mpak wafungue chuo.
😂😂😂😂Kwasababu wao ndo wapiga codeKwa nini watu wa IT peke yao ndio hazibadiliki?.
Mwezi wa kwanza ndo masomo yao yanaanza Kaka kwahiyo mtapigiwa mwezi huu unaoanza ili muandae mambo yakufundisha januaryHii nishaona ni mwakani labda mwezi wa 2 au 3 maana ni wanapeleka wafanyakazi kwenye vyuo vipya wanavyojenga na Bado havijakamlika asilimia zote so Bora Psrs watoe placement zingine mie niishi nazo hizo hii nimechoka
SUBIRA YAVUTA KHERIHii nishaona ni mwakani labda mwezi wa 2 au 3 maana ni wanapeleka wafanyakazi kwenye vyuo vipya wanavyojenga na Bado havijakamlika asilimia zote so Bora Psrs watoe placement zingine mie niishi nazo hizo hii nimechoka
Kuna wale wahasibu, mbona walipita Moja Kwa Moja oral?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hutaki jobless nijibebee kuruta wa Mungu??
Kijana wa hovyo sana😂😂😂🤣🤣🤣🤣Haha haha [emoji2][emoji2] " mara baada ya kuitwa oral, nilikutana na wanawake kwenye post yangu,, nikajipa moyo nitawakandaaa ,,kumbe cjui watanikanda kindoige...oooohh jamani ninateseka na wanawake kwenye oraaal,,ooh wanaume tumeumbwa matesoooo,matesoo kutoboa,,"" [emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji17] Genuine raf wizy
Nmewamiss[emoji4][emoji3059][emoji3061]