Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ety wadau hizi kazi za Tutors vyuo vya kati Kilimo kwenye Oral interview wanahitaji uandae presentation pia..?
Ndio Yakunle na baada ya kukaguliwa vyeti na utumishi mtapewa saa moja kuandaa presentation ya topic ukonayo interest,, baada ya hapo mtakaiwa kupresent topic yako assume panel ni students dk 10 au 5 itadepend ,, baada ya presentation ni Qns and answers from Ur presentation kawaida maswali 5 ,
1.education background and who you're
2.litatoka kwenye presentation yako litaitaji point 5 itategemeana presentation yako ulivyoiandaa kuna part ina vitu 5 kuangalia unajua ulichokiandaa
3. Litatoka kwenye presentation yako litataka Explain something 5points kuangalia unaweza kuelezea kitu chako, ulichokiandaa pasipo kuangalia kwenye notes zako au uliweka tu kwenye presentation
4. Linaweza toka kuangalia uwelewa wako kwenye mambo ya kilimo ,,wanapenda sana mfn challenges facing Agriculture sector or challenges facing farmers ,,watataka altleast 5 point au
5. watakuuliza Challenges do u expect as tutorial, at least 5 challenges

Kumbuka
Oral ya tutor zinajumuisha uandaaji wa presentation nahisi ni sehem ya interview kuangalia uwezo wako wa kuandaa presentation,, inajumuisha presentation ya topic yako uliiandaa , jitahidi unapopresent onyesha confidence yako ,usipresent yaan kuwa mwalimu wafundishe ,,usisome some kwenye notes zako sana kwenye kuulezea vitu ,na mwisho inajumuisha QNS AND ANSWERS after presentation kuangalia uwezo wako na kujilidhisha maana unaweza kuwa na mapungufu kwenye presentation yako watataka kujidhihisha na kwenye Q & A ..unapojiandaa kwenye oral angalia topic unayoijua vzr iskupe shida kwenye kuandaa na kuitetea kwenye maswali na majibu
 
NB: kuandaa topic na kupresent inakuwa na alama 60 , maswali mengine toka kwenye ulichokipresent na maswali ya umjumla ni Alama 40. So jipange sana kwenye kuandaa mada na kuipresent maana ndio sehemu yenye maksi nyingi. Kila la kheri ndugu yetu
 
Ndugu zangu eeeh naomba anayejua vyema swali la 5 anisaidie namna ya kujibu vyema....maana nishawai kutana nalo mwaka jana naisi ile kazi nilikosa naisi kama ili lilikuwa moja ya swali nililojibu vibaya sana
 
Kwa ww ni panelist bro mpka unajua mpangilio wa marks uandaaji na presentation mark 60 na Q n A ina 40 ?? Tueleweshane vzr Mwaisa1202
 
Ndugu zangu eeeh naomba anayejua vyema swali la 5 anisaidie namna ya kujibu vyema....maana nishawai kutana nalo mwaka jana naisi ile kazi nilikosa naisi kama ili lilikuwa moja ya swali nililojibu vibaya sana
Ww ulijibugu VP ? Au uliulizwaga VP na point ulizojibu ni zip za challenges ??
 
Experience ipi au mwaisa ni mkandaji nn?? Maana ukiingia kweny usahili hawakuambii ,,sijui hapa patakuwa na marks ngap ,hapa ngap ,,haya tuanze interview ss.. ndio Maana Kama anajua atueleweshe vjna wasaka tonge marks zikoje
😂😂😂😂😂Kaka tuishi kitaalamu sana humu wewe chukua maelezo uliyopewa songa mbele kama injili huo ndo ukweli aliokwambia haya mengine achana nayo
 
Experience ipi au mwaisa ni mkandaji nn?? Maana ukiingia kweny usahili hawakuambii ,,sijui hapa patakuwa na marks ngap ,hapa ngap ,,haya tuanze interview ss.. ndio Maana Kama anajua atueleweshe vjna wasaka tonge marks zikoje
Kasome muongozo wao wa namna ya uendeshaji wa ajira utayakuta hayo...mfano cutting point ya waajirwa wa kada ya ukufunzi ni marks 70...kada nyingine ni 50...usaili wa pili vitendo kada ya ukufunzi utajumuisha uwasilishaji wa mada...n.k
 
Mie sijakataa kaka ni marks 70 ..lengo la kuuliza ni Vijana kujua hata anapoenda kweny usahili anajua ili nitoboe sehem lazima nifanye kweli na n.k...

ss swali langu ni je unajua uwandaaji na UWASILISHAJI wa mada =60 marks na Q &A = 40. ..ili jobless wapate mwanga wa hizi mambo za usahili zipoje ili iwasaidie wengne abeche wizy
 
Kwenye kufundisha presentation inabeba marks nyingi mzee maana wewe ndo kazi utakayoenda kuifanya hiyo kwahiyo ukishindwa kupresent usitegemee kuongea au kujibu maswali ndo itakubeba maana maswali wanauliza kupima tu kama una content au kama Kuna kitu hujaeleza kiundani au ulieleza kiufupi
 
Correct kufundisha ndiyo Kila kitu maana confidence,uwezo wako wa kudeliver ukaeleweka,una manage vipi wanafunzi..ukizingatia unaenda deal na watu wazima.unaweza jibu maswali yote ila kufundisha F ngumu kupata nafasi
 
Natoa tu ushauri kwa wale wanaoenda kufanya usaili Kuna option mbili za kujiandaa na hii mitihani ya utumishi
1. Unapojiandaa jiandae kupitia zile job description Yani soma topics za chuo au secondary zinazoendana na zile duties (hii ilikuwa inatumika zaidi kwa mitihani ya September kurudi nyuma) lakini kwa sasa kwa mitihani ya technical wamebase darasani zaidi
2.option ya pili jiandae soma mambo ya darasani zaidi Tena chimba sana Kuna maswali Yale yanayouliza let say 1+1=2 halafu wanakuuliza kwanini ni 2 isiwe 11 ,hayo maswali yanakupima kuelewa kile kinafanyika nyuma ya Hilo jibu lako
Na kingine written haitaki maelezo mengi jibu short and clear pia hakikisha unajibu maswali yote Yani yote usiache swalii ,kwahiyo uwe na speed HS CODE
 
Back
Top Bottom