Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oya hivi kama huna Kitambulisho cha NIDA Ila number unayo si unaweza tumia kitambulisho kingine kama Driving licence au passport ya kusafiria ? Au wanataka kitambulisho cha NIDA Tu ?
 
Unaweza ukatumia hivyo vingine ulivyovitaja
 
Back
Top Bottom