😂😂😂au oysterbayMungu ni mwema dear Akakupiganie this time,,,ukitoka tukutsne makulu tupate walau pepsi baridi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂au oysterbayMungu ni mwema dear Akakupiganie this time,,,ukitoka tukutsne makulu tupate walau pepsi baridi
Leo naona kimya labda hakunaWale wa Placement still loading.......
Ikipita saa nne ndiyo inakuwa hakuna pia naona harufu ya jinana lako 😂😂😂Leo naona kimya labda hakuna
Wanatupiaga ata saa 7 usku haoLeo naona kimya labda hakuna
Wazee wa ushuhuda muandae keyboard vizuri kuleta ushuda kama hakutakuwa na mabadiliko hapo baadaeWanatupiaga ata saa 7 usku hao
😂😂😂😂Hahhhh kaka unataka nianze kupost picha magari asaivi?Ikipita saa nne ndiyo inakuwa hakuna pia naona harufu ya jinana lako 😂😂😂
😂😂😂Tukileta ushuhuda watu wanakuwa wakali ,Jana Kuna jobless kanifokea sana aseeeh kasema this is too much"Wazee wa ushuhuda muandae keyboard vizuri kuleta ushuda kama hakutakuwa na mabadiliko hapo baadae
Kukandwa kawaida mzee wadau kujisema ndiyo wanaona aibu mimi nishakandagwa written nilipataga 25 ya na cut off ilikuwaga 50Hili jukwaa inaonekna lina mafaza wengi sana maana kila mtu anasema mdogo wake kafeli 🤣🤣🤣
Ngoja tusubiriWanatupiaga ata saa 7 usku hao
Kufeli ni kawaida tu mbona sema nauli ndo zinaumagaKukandwa kawaida mzee wadau kujisema ndiyo wanaona aibu mimi nishakandagwa written nilipataga 25 ya na cut off ilikuwaga 50
Hongera san...ulikuw kwenye post gani?asanteni kwakunipa moyo,nimeingia oral
Ngoja ajeHongera san...ulikuw kwenye post gani?
Hilo jina lako tu linanikumbusha majanga ya vijana katika kusala utelezi.Not selected for oral interview.
Hakuna kitu nachukia kama kufeli, ila Naamini Mungu yupo na Mimi..
Cutt of imeanzia 91..
Nimepata 89.5.
Nawapongeza wenzangu waliofanikiwa kuendelea na usaili.
Kweli hapo changamoto mkuu ila kukandwa kuna ongeza experience sanaKufeli ni kawaida tu mbona sema nauli ndo zinaumaga
Sio mimi kiongozi na hata ukifatilia nyuzi zangu mimi ni muajiriwa since July 2015 mdogo wangu anaenifata ndio hata nilimuulizia swali humu kuhusu kuingia oral maana ndio ilikuwaga oral yake ya kwanza na mimi interview nazofanyaga ni za TRA tu maana nimesoma taxation ifm ....na bahati nzuri ajira niliyopataga haikuwa na interview nilipata kama mhudumu wa afya baada ya kuona tax imekuwa ngumu kiajira nilisoma coz ya afya 1 year nikapata kazi moja kwa moja kwenye halmashaur na ikaja shida kwenye kubadilisha kada na ndio maana huwa nafanya interview za tra nikiwa nimepitisha barua kwa mwajiri ....lakini mungu sio athumani nilishauriwa coz ya tax haipo kwenye halmashaur nikashauriwa nisome CPA nikaanzia foundation level na sasa nipo level ya intermediate hivyo nilibadilishiwa cheo kwa kutumia cheti cha foundation kama msaidizi wa hesabu na nikimaliza CPA nitakuwa mhasibu rasmi....karibu halmashaur ya geita....huyo ninaemuuliziaga ni mdogo wangu ni CPA Holder na ninaishi nae kwangu hivyo waliitwa oral moja kwa moja za LGA NA MDA ...Hope nimekujibu kiongoziMdgo wako au ni
Wewe mwenyewe mzee
Kweli ukifeli naamini huwezi kufeli tenaKweli hapo changamoto mkuu ila kukandwa kuna ongeza experience sana
Narudia, stay stro
AmenHilo jina lako tu linanikumbusha majanga ya vijana katika kusala utelezi.
Usijali kuna next time muda utafika