Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nimetoka oral ya TARI research ECONOMIST II, HAWA JAMAA WANAKAZA DUUH GOD BLESS US.
week hii nilikuwa na Salli 3, written nimekandwa 1 ya ASA marketing officer II, na nimeingia oral 2 ya TARI research assistant economist NA ASA PIA ECONOMIST II,
Nilifanya jumamosi ya TARI na jumapili nilifanya saili 2. Ambapo moja ilikuwa asubuhi na nyingine mchana.
Nilichojifunza kwa written nilizofaulu hizo 2, ya TARI NA ASA ECONOMIST, Hawa jamaa hawataki bla bla nyingi go to the straight briefly explain
Marketing nilielezea sana wakanikanda lkn hizo zingine nilielezea kiasi nimewakanda pia,
Hapa kesho kutwa Nina oral ya ASA ECONOMIST II, TUPO 7 NAFASI 2 [emoji1787]

LKN NIMEJIFUNZA KUWAKANDA HAWA JAMAA KUPITIA HILI JUKWAA.
NAOMBENI TIPS ZA WRITTEN ZA ECONOMIST TWO NIKAWAKANDEE KESHOKUTWA. [emoji3]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jiamini kaka umepita oral mbili, tips za nini tena? Hujui nini kinatakiwa wakati umepita kugumu haswa.....KAWAKANDE
 
Nimetoka oral ya TARI research ECONOMIST II, HAWA JAMAA WANAKAZA DUUH GOD BLESS US.
week hii nilikuwa na Salli 3, written nimekandwa 1 ya ASA marketing officer II, na nimeingia oral 2 ya TARI research assistant economist NA ASA PIA ECONOMIST II,
Nilifanya jumamosi ya TARI na jumapili nilifanya saili 2. Ambapo moja ilikuwa asubuhi na nyingine mchana.
Nilichojifunza kwa written nilizofaulu hizo 2, ya TARI NA ASA ECONOMIST, Hawa jamaa hawataki bla bla nyingi go to the straight briefly explain
Marketing nilielezea sana wakanikanda lkn hizo zingine nilielezea kiasi nimewakanda pia,
Hapa kesho kutwa Nina oral ya ASA ECONOMIST II, TUPO 7 NAFASI 2 [emoji1787]

LKN NIMEJIFUNZA KUWAKANDA HAWA JAMAA KUPITIA HILI JUKWAA.
NAOMBENI TIPS ZA WRITTEN ZA ECONOMIST TWO NIKAWAKANDEE KESHOKUTWA. [emoji3]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hongera kiongozi mwaka wetu huu
Ngoja watu wa economy waje
 
Sawa kk, aliowafundisha utumishi kumention five points daah watatuua huku, wanakaza utaje kk mpk inanitia hofu ingawa nawajibu huvyohivyo. Hizi oral zimekaaje wazoefu!

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Hahhhh zile point tano huwa zinakata pumzi kinoma lakini chamuhimu ujibu hata ziwe tatu au mbili lakini usikae kimya jitahidi kujibu unachoelewa
 
Nimetoka oral ya TARI research ECONOMIST II, HAWA JAMAA WANAKAZA DUUH GOD BLESS US.
week hii nilikuwa na Salli 3, written nimekandwa 1 ya ASA marketing officer II, na nimeingia oral 2 ya TARI research assistant economist NA ASA PIA ECONOMIST II,
Nilifanya jumamosi ya TARI na jumapili nilifanya saili 2. Ambapo moja ilikuwa asubuhi na nyingine mchana.
Nilichojifunza kwa written nilizofaulu hizo 2, ya TARI NA ASA ECONOMIST, Hawa jamaa hawataki bla bla nyingi go to the straight briefly explain
Marketing nilielezea sana wakanikanda lkn hizo zingine nilielezea kiasi nimewakanda pia,
Hapa kesho kutwa Nina oral ya ASA ECONOMIST II, TUPO 7 NAFASI 2 [emoji1787]

LKN NIMEJIFUNZA KUWAKANDA HAWA JAMAA KUPITIA HILI JUKWAA.
NAOMBENI TIPS ZA WRITTEN ZA ECONOMIST TWO NIKAWAKANDEE KESHOKUTWA. [emoji3]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Achana na hyo uliza watu waliofanya TGDC asee wale jamaa hapanaaaa
 
Pale naonaga kukaa mwisho nitapanic bure tu ni heri niwe katikati sema ile mbinu yakuchukua simu aseeh waliwaza pakubwa sana isingekuwa hivyo 😂😂😂
Ni kweli,

Ingawa sio wote wanakusanya simu zao, we fikiria mtu anaingia na smart phone kweny writen kwa ajil ya ku google.

Mtu huyo hawez kushindwa kuwa na simu ndogo kwa ajil ya kupata updates za maswal ya usail. Anakuwa ameshawapanga watu kabisa kwa ajil ya hyo issue.
 
Hyo ratio ni rafiki kwako mkuu 1:3. Pambana naamin unaenda kuchukua kazi hyo.

Pitia vizuri duties and responsibilities za kazi uliyoomba.

Challenges za hyo kazi

Namna ya kutatua hzo changamoto

Nimetoka oral ya TARI research ECONOMIST II, HAWA JAMAA WANAKAZA DUUH GOD BLESS US.
week hii nilikuwa na Salli 3, written nimekandwa 1 ya ASA marketing officer II, na nimeingia oral 2 ya TARI research assistant economist NA ASA PIA ECONOMIST II,
Nilifanya jumamosi ya TARI na jumapili nilifanya saili 2. Ambapo moja ilikuwa asubuhi na nyingine mchana.
Nilichojifunza kwa written nilizofaulu hizo 2, ya TARI NA ASA ECONOMIST, Hawa jamaa hawataki bla bla nyingi go to the straight briefly explain
Marketing nilielezea sana wakanikanda lkn hizo zingine nilielezea kiasi nimewakanda pia,
Hapa kesho kutwa Nina oral ya ASA ECONOMIST II, TUPO 7 NAFASI 2 [emoji1787]

LKN NIMEJIFUNZA KUWAKANDA HAWA JAMAA KUPITIA HILI JUKWAA.
NAOMBENI TIPS ZA WRITTEN ZA ECONOMIST TWO NIKAWAKANDEE KESHOKUTWA. [emoji3]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nikila namba ndo nitaamini

Hahaha. Kuwa na amani, na huu sasa ndio muda wa kujisogeza tuwe karibu zaidi. Kadiri nitakavyoona inafaa, nitahakikisha unaonekana jina lako kwenye Pdf za placements nyingi zaidi. Hata kwa nafasi ambazo hujaomba kabisa.

NB: Ndugu zangu wa Utumishi najua mnausoma huu ujumbe, ni utani kama sehemu ya kuchangamsha majobless, huku tukisaidiana mambo muhimu wakati wa utafutaji wa ajira.

Msije mkatoa tangazo kwa Umma kukanusha kwamba kuna mtu Jf anaahidi watu ajira bila ya usaili.
 
Back
Top Bottom