Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanza siku tunaenda written, mimi nmezoea kutoka kule home na bado since mitihan uwa ni saa moja, sasa wa Naot ilikuwa saa 6. Nkaona tu ntapanda daladala maana muda upo. Kwanza pale sabasaba hii ndo ilikuwa mwanzo kushuhudia, yaani watu wanajaa hadi wanasimama ndo daladala nyingine inapakia, tukasubirii baadae ndo tukapanga km nusu saa hiv, hapo naona tushachelewa. Basi nlipanda daladala nkaweka mkono nje, daladala nyingine ikapita kabisa pemben ikanibana mkono nlipiga kelele, ikaniachia mstari hadi nyama ya ndan ikaonekana, na ikanichubua ngoz ile nguo ya mikono mirefu nilivaa, aisee, nmefika na maumivu makali, tukasubirishwa tena, tukaja fanya ntihan saa 8 sijui 9. Mkono unaniuma sio poa na hapo nmeuficha kwenye nguo yangu. Yaan sasa hivi nkisikia NAOT moyo unapiga paa, nawaza maswahibu niliyopitia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Namuwaza huyo dada, yaan bora ata mtu anikumbushe MDA na LGAs sio NAOT
Pole sana prok, Nilivofika mara1 pale migiro nikahisi nimepotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe ndo nimefika daah! Kile kibaridi cha hapo kisha likaja kufumuka jua nikajiuliza hivi ni wote huwa tunafanyia usaili hapa au ss tu tumeteuliwa [emoji3][emoji3][emoji3] nikasema lets keep it up kwakuwa kufika oral ni hatua kubwa sana
 
Sure kbs wengine huwa wastaarabu sana mtu unaingia usaili saa7 hujala kutoka saa 1 mpk panelist aliniuliza unaonekana hujala tangu asbh[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kwani oral interview nazo zinachukuaga muda mrefu kuanza kama zilivyo written interview ? Au inategemea na idadi ya walioitwa oral ? Mfano oral mmeitwa watano na mzigo unaanza saa moja asubuhi hapo Kuna kuchelewa kweli ?
 
Znachelewq inategemea na idadi ya watu waloitwa kwenye usaili huo mm nshafanya oral imeandikwa inaanza sa moja asubuh ila nlifanya sa 10 jioni
 
Kuna jamaa wa utumishi aliniambia "Hivi umesoma una degree kweli wewe "? Siku ya written. Moyo uliniumaaaaa,nikapotezea nikapiga mtihani nikarudi zangu Tandahimba. Pamoja na kuniambia vile matokeo oral yakatoka nikaitwa nikaenda Asha Rose Migiro nikapiga oral nipo nasubiri placement.Nikipata asante Mungu nikikosa asante Mungu ila nitaendelea kuomba na kupambana.
Oral umepita mwezi gani..?
 
Mkuu kwani oral interview nazo zinachukuaga muda mrefu kuanza kama zilivyo written interview ? Au inategemea na idadi ya walioitwa oral ? Mfano oral mmeitwa watano na mzigo unaanza saa moja asubuhi hapo Kuna kuchelewa kweli ?
Sisi tulikuwa 17 tu, lkn tulianza saa6 usaili kutoka saa1, sikujua walikuwa wanapanga au hawakuweka sawa nn. Huwa zinachelewa sana tu itategemea na idadi ya watu na muda mtakaoanza
 
Mimi hapo kwenye address nilipaacha tu blank, ili watakachokitaka nikiandike ndio nikiandike hapohapo. Sijawahi kuulizwa chochote kuhusiana na address kwenye interview zote, so huwa pako blank tu siku zote. Siku watakaponikaba nipajaze, hapo ndipo nitajaza kama wanavyotaka sasa.
😁😁😁umeniacha hoi kweli..haya bhna hutaki kusumbuana na invigilators au sio
 
Mkuu kwani oral interview nazo zinachukuaga muda mrefu kuanza kama zilivyo written interview ? Au inategemea na idadi ya walioitwa oral ? Mfano oral mmeitwa watano na mzigo unaanza saa moja asubuhi hapo Kuna kuchelewa kweli ?
Sisi tuliambiwa saa 1 asubuhi, tukafanya oral saa tatu usiku. Unategemea wanafanya kada ngapi siku hiyo.
 
Kuna jamaa wa utumishi aliniambia "Hivi umesoma una degree kweli wewe "? Siku ya written. Moyo uliniumaaaaa,nikapotezea nikapiga mtihani nikarudi zangu Tandahimba. Pamoja na kuniambia vile matokeo oral yakatoka nikaitwa nikaenda Asha Rose Migiro nikapiga oral nipo nasubiri placement.Nikipata asante Mungu nikikosa asante Mungu ila nitaendelea kuomba na kupambana.
Vina dharau sana vilee vijamaaa...!!
 
Ndugu yangu uko sahihi sana. Kuna mdada alitoka kwenye usaili fulani na kurudi nyumbani akila siku nzima kwa makadirio ya haraka iliisha wiki hayuko sawa.

Sababu ni kwamba kuna maneno ya kukatisha tamaa aliambiwa na moja ya wanapannel kwenye Oral, yakamtoa kwenye reli kabisa akawa na kigugumizi kuanzia hapo akiulizwa maswali yanayofuata akawa anajibu kisha anazidiwa na kulia.

Kwa hiyo alivyotoka kwenye mtihani akawa anaumia kwamba tayari amefeli, hata kumpa moyo ni ngumu kwa sababu hoja yake ni atafaulu vipi wakati maswali mengi hajayajibu!

Mkeka ulipotoka jina lake likawepo na kuna baadhi ya waliotoka kwa kujiamini na kuanza kumfariji majina yao hayakuwepo.

Nadhani jamaa wa panel labda waligundua kuna kuna mahala waliteleza kwa hiyo wakaona waangalie namna ya kumfidia kibinadamu.

Ni ule mkeka wa TRA wa mwaka huu uliowapa watu wengi ajira.
Ule mkeka 98% walioingia oral walipata kazi. Nakumbuka sana aisee nilipata 49.0 kwenye written na jamaa zangu wote waliotoboa written wamelamba utamu wa asali.
 
Ule mkeka 98% walioingia oral walipata kazi. Nakumbuka sana aisee nilipata 49.0 kwenye written na jamaa zangu wote waliotoboa written wamelamba utamu wa asali.
Yaaap ni kweli.. kuingia Oral ni ushindi tosha Just imagine watu mlikuwa zaidi ya 3000 halafu mtu unapita tena ndani ya 50 Bora ni ushindi tosha
 
Huu mkeka aliyeingia oral hakuachwa
Walikuwa na uhitaji mkubwa sana wa wafanyakazi na bado hawatoshi, ndo maana baada tu ya wale kupata kazi wakatoa tangazo lingine lenye nafasi nyingi kwa kada tofauti.

Kuna jamaa zangu walilamba asali wamenambia kuwa bado uhitaji ni mkubwa sana. Kwa hyo wakuu tupambane mpaka jasho la mwisho kuweza kuingia oral kwani yanaweza kujirudia.
 
Asali zao vipi zimeshazaa matunda!!!?😂😂😂😂😂
 
Akapiga written kawaida tu akaona hapo hatoboi akajua sasa maswali wanatoaje akarudi home kula msuli heavy,
Ina maana jamaa yako alikuwa anapiga msuli heavy bila hata kuwa na tangazo la kazi.

Na hapo juu umesema alijua hatatoboa, sasa msuli heavy ulikuwa wa nn, kumbuka kusoma bila kuwa na events yoyote vitu huwa vina evaporate.
 
Alikuwa anasoma aliofubdishwa chuo that is means baada ya kujua format yao kwahiyo ilimrahisishia alipoingia oral,

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom