tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Tuzidi kuomba Mungu everything will be OK.nusu nusu,alafu shikamoo ya nini
Shkamoo ya kukusalimu tu my dada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzidi kuomba Mungu everything will be OK.nusu nusu,alafu shikamoo ya nini
DaahTaasisi yoyote ya serikali unapoenda kuanza kazi lazima ujaze medical form
Mwifwa hutakiwi kuwaza, ushavuta mrija weweSijui wengine tutesekeje mbao hatujapata placement na hatujui kama tumetusua au la.
Wewe ambaye umebakisha hatua ya kuitwa, uko kwenye tension.
Wewe relax na chora ramani ya kuila Asali, tensio tuachie sisi
na nimefanya makusudi kuandika hivi ili useme mimi niwakikeHapana, hata sijakwazika, ila wewe ni mdada[emoji23][emoji23]
Mhhhh usituzibie kuja PMna nimefanya makusudi kuandika hivi ili useme mimi niwakike
Au ni mambo ya kiutawala yanafanyika ilikuhakiksha vitu vinaenda vzr ,,ikiwemo malazi,mshahara ,ofisi, n.kNdio wanakagua vyeti....hasa cha o level lazima wawasiliane na necta
Unatoa copy mbili mbili za vyeti vyote na kuziacha hapo ofisini, then taarifa zinajazwa KwenyeKwan vyeti Ahmet ameviacha ofisi kwa ukaguzi au unafanyikaje huo ukaguzi au ndio kuweka namba ya cheti Cha f4
Makofia nifate chemba unielekeze jamboKweli mzee hapo ni uhakkki wa vyeti nida then cheque number unaogelea kwe asali hatua hiyo inakuwa ngumu kama una cheque number tayari mzunguko unakuwa mkubwa
Ngoja nione slippery kama utaipa bajeti gani[emoji3][emoji3]Acha nipange na bajeti ya matumizi kabisa
Nini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]are comfortable?hahahaa fahamu zilirudi ukiwa unakabiziwa vyeti na kuonyeshwa mlango wakutokea,,hapo nimejikuta nacheka kwa sauti!!mimi mmoja aliniuliza kama niko comfortable
Tuombe nisije nikakimbia kimya kimya kama wizyMwifwa hutakiwi kuwaza, ushavuta mrija wewe
Sio kwamba vetting huwa inafanywa na utumishi kabla hujapangiwa kazi?!Kama Taasisi ipo serious. Huwa mnachunguzwa (Background check)
Mbili Mtachunguzwa Afya.
Tatu Mtachunguzwa uhalali wa Cheti
Kuna ka process... Mnawes anza kaz mwez wa 3 wakifanya masihara.
Wizy alikuwa anakausemi flani hivi eti baba jeni byebyeTuombe nisije nikakimbia kimya kimya kama wizy
Naaawaza!, Naaawaza! Nawawa! Nawaza Tuuu...!!!Nini
Wizy na StatusWizy alikuwa anakausemi flani hivi eti baba jeni byebye
acha tu ndo maana sina uhakika wakupata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]are comfortable?
"just mention"
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Relax mtu wangu, imani inaponya sanaacha tu ndo maana sina uhakika wakupata