Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Yaaap, jamaa anaonekana ana Uroho sana na hizi kazi za Serikali ๐we mshukuru mungu ushapata kazi tulia ndugu mtaka yote kwa pupa hukosa yote waachie wenzio nafasi ushakua kwenye system
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaap, jamaa anaonekana ana Uroho sana na hizi kazi za Serikali ๐we mshukuru mungu ushapata kazi tulia ndugu mtaka yote kwa pupa hukosa yote waachie wenzio nafasi ushakua kwenye system
๐๐๐๐๐ Dahh mkuu kwenda kupiga kazi kijijini sio poa asee, lazima uwaze kidogoYaaap, jamaa anaonekana ana Uroho sana na hizi kazi za Serikali ๐
๐ Hv TPDC ukitoboa bado utabaki Dar tu au..?๐๐๐๐๐ Dahh mkuu kwenda kupiga kazi kijijini sio poa asee, lazima uwaze kidogo
butiama kuko poa ndugu yangu nenda kapige kazi๐๐๐๐๐ Dahh mkuu kwenda kupiga kazi kijijini sio poa asee, lazima uwaze kidogo
Sijui, ila nnachofahamu mimi, salary na allowances vitanona boss wangu.๐ Hv TPDC ukitoboa bado utabaki Dar tu au..?
Kuna mwana kanichana kuwa ni alikuwa huko miaka Fulani na ni bush kimtindobutiama kuko poa ndugu yangu nenda kapige kazi
Kijana nenda kafyatue jobless wengine huko kijijini usiwaze sanaKuna mwana kanichana kuwa ni alikuwa huko miaka Fulani na ni bush kimtindo
๐๐๐๐๐ Sawa bossKijana nenda kafyatue jobless wengine huko kijijini usiwaze sana
Aisee uko Bush ukiwa na salary c ndio unakuwa King Mswati.Kuna mwana kanichana kuwa ni alikuwa huko miaka Fulani na ni bush kimtindo
Utaniuzia hiyo biashara kama inauzika. I am seriousKaribu sana, kuna muda nawaza hivi nkipataga kazi biashara yangu namuachia nani, nawaza nakuwazua
Bush ukiwa mtumishi wa Serikali raha Sana,unapata nyumba nzuri,utakula vizuri,utawekeza biashara na mambo yako mengiAisee uko Bush ukiwa na salary c ndio unakuwa King Mswati.
yaan natamn kaz za mikoani kuliko hp Dar
Sawa mdau,ngoja nikajionee mkuu, but thanks for the advice maana nlikuwa nawaza sana boss.Bush ukiwa mtumishi wa Serikali raha Sana,unapata nyumba nzuri,utakula vizuri,utawekeza biashara na mambo yako mengi
๐๐๐๐๐ mkuu inaonekana unapenda sana njunju. SEMA fresh nmekupata fresh ngoja tukapambane.Aisee uko Bush ukiwa na salary c ndio unakuwa King Mswati.
yaan natamn kaz za mikoani kuliko hp Dar
Ile Scale Yao TPDCS 7 umeambiwa ni pesa ngapi..?Sijui, ila nnachofahamu mimi, salary na allowances vitanona boss wangu.
Sasa mkuu uliombaje kazi za Chaka hizo.. Ungeipotezea now ingekuwa umerelax unasubiria shortlisted ya TPDC ukawapelekee moto kule utumishi.. Wenzio kazi zisizoeleweka wanazipotezea then wanasubiria panaponoga Ila hii ni kwa watu wasio na shida na hela ya kula๐๐๐๐๐๐ Dahh mkuu kwenda kupiga kazi kijijini sio poa asee, lazima uwaze kidogo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Eti kafyatueKijana nenda kafyatue jobless wengine huko kijijini usiwaze sana
๐๐๐๐ Dahh! Jamaa wanawaza kazi na njunju dahh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Eti kafyatue
Chuo ndio kiwanda cha jobless Tanzania[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Eti kafyatue
Mkuu jobless Huwa hatuchagui kazi sisi tukiqualify tu tunaomba issue za location hizo ni mambo za baadaye.Sasa mkuu uliombaje kazi za Chaka hizo.. Ungeipotezea now ingekuwa umerelax unasubiria shortlisted ya TPDC ukawapelekee moto kule utumishi.. Wenzio kazi zisizoeleweka wanazipotezea then wanasubiria panaponoga Ila hii ni kwa watu wasio na shida na hela ya kula๐