Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Yap, Hii ndio huwa inanoga zaidi kwa kuwa ina majorityTaasisi mbalimbali za umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap, Hii ndio huwa inanoga zaidi kwa kuwa ina majorityTaasisi mbalimbali za umma
Mzee wa IT upoo?umehadimika snTaasisi mbalimbali za umma
Labda tusubiri Tena muda wowote.Nadhani wao watakuja na PDF la Placements Taasisi MbalimbaliMkuu mazaga one hii week naona inaisha kibishi No updates kule psrs😁😁
Ni tutorial assistant,Saaaaaafi kabisa mkuu.
Huu mrija wa asali uliupambania sana,
Naomba ukautendee haki.
Vipi umepata Assistant Lecturer au ile master haukuwahi kupiga?
Maana'ke nd'o mambo yako haya nakumbuka umekuwa ukiyajadili kwa kina sana.
Kweli hata huku kusubiria kuitwa nako kunachosha pia, unaona kama huwezi kuitwa hiviBado safari ndefu mkuu, sasa tuko kwenye pressure ya kusubiria waya
Vijana on the trackKweli hata huku kusubiria kuitwa nako kunachosha pia, unaona kama huwezi kuitwa hivi
Swali la Kwanza soma sheria ya intoxicating liquors act Iko very openTrade officer ii
1. Liquor law license restrictions
2.Advantages of Selling on Credit
3.Factor to consider before price of produce
4. Short Notes
Production
Utility
Trade
Opportunity cost
Kaka hapa unaupiga MwingiNi tutorial assistant,
Nashukuru sana kaka
°Open university wako serious na kazi Yao, wako faster SanaPlacement ya Open University kwa wale waliofanyia DSM
Safi kabisa uharaka km huu°Open university wako serious na kazi Yao, wako faster Sana
Hawa wamefanya tarehe 19 na 20 disemba lakini placement tayari na naimani wataanza kazi soon.°Open university wako serious na kazi Yao, wako faster Sana
Sisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]Kweli hata huku kusubiria kuitwa nako kunachosha pia, unaona kama huwezi kuitwa hivi
Hongereni sana, Kuna taasisi ziko fasta Hadi rahaSisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
Hawa jamaa wapo faster Sana kweli,hata zile za mwanzo wiki mbili tu watu waliitwa.Hawa wamefanya tarehe 19 na 20 disemba lakini placement tayari na naimani wataanza kazi soon.
watupe shuhuda za statusHawa wamefanya tarehe 19 na 20 disemba lakini placement tayari na naimani wataanza kazi soon.
Mwisho wa Mwezi oyeeeeSisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
Hiyo ni ya kitambo sana kiasi kwamba ilikuwa bado kidogo nikuulize hao wametangaza lini maana ni field yangu.Kwa zile post zenye kada nyingi, WAZOEFU MTUPE DETAILS tunasoma vitu gani,,,maana kuna post za agriculture officer II, KUNA watu wa (agriculture general, agronomy,agribusiness, na Applied extension from ministry of agriculture through NATIONAL IRRIGATION COMMISSION). Naombeni Madesa wakuu wa KAZI kabla sijaitwa kwaajiri ya MKANDO.