Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Chap chap, Hongera sana mkuu.

Hope baada ya miezi sita hivi, utakuja hapa kutaka kujua dondoo mbili tatu kuhusu subaru/alteza.
Hahahaaa, nipo kwenye group la biashara huko Whatsapp, wanitoa udenda kila sekunde. Huu ndio mfano wa matangazo yake.

NIPE WISH NEWMODEL NZURI MKUU IENDE ARUSHA ..... OFA IPO 15M ITOE HERA

lingine

Toyota Hilux Vigo

Year 2015
Cc 2494
Engine 2KD
Colour White

Dvd Radio[emoji736]
New Tyres BF [emoji736]

Price 42mil[emoji1666]
Call 0712934....
 
Daaah[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom