Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna yule Tutorial Assistant mpya wa Chuo Cha Kilimo Nyerere Butiama,, alikuwa akizisubiria sana hizi za TPDC licha ya kupata kazi.. Yuko wape yule mbona kimya...!!!
20230124_155929.jpg


Acha yule mwamba aikatae ile nafasi
 
Naona Utumishi wametoa Tangazo la Placement la OUT lililokuwa la hivi karibuni,Je ni dalili ya kuwekwa placements mpya Sasa hivi likihusisha Taasisi Mbalimbali za Umma...
Yakunle
meck pro
 
Eeeeht watuchukue wote kuna Nyakat Kabisa unaingia kwny Written unaona dhamira ya mtunzi wa Mtihan ni kuondoka na Majority Upande wake(NOT SELECTED) na kuwaacha Minority (SELECTED) .
Mbali hivyo, kwenye kushortlist huwa kuna panga la hatari sana pia ila sisi hatujui. Hizi nyomi tunazoziona kuitwa written ni wachache ukilinganisha na walioapply
 
Back
Top Bottom