Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ahaa sawa mkuu, kumbe mumenolewa, kaanzeni kukiwasha sasaYeah kama wiki hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa sawa mkuu, kumbe mumenolewa, kaanzeni kukiwasha sasaYeah kama wiki hivi
Sawa ukisoma kanuni zao ukipata 50 au above inahesabika umefaulu usaili kwa non teaching post.Ttizo hatujui baad ya oral ulifnikiwa kuingia knz data au hola upo upo tu huelwi kitu nfkr kuna umuhimu wa kutoa matkeo ya mwisho
Wewe ni staff mpya wa NAOT?Nitumie link la hilo group
Wanamalizia viporo vya mwaka jnaKwasasa kwenye web ya utumishikumenunaaa hakuna hata nafasi iliyotangazwa ...
Hakuna palcement
Ni mwendo wa kuitwa kwenye usaili tu..
Key word ni MCHAKATOVijana pambaneni muungie hata kwenye kanzi data.
Ajira ni mchakato
Mpka usiku hiyo kama kawaida yao sbria mkuu nightHawa Utumishi wamalizie Hizo kada zilizobakia sasa, usaili uko tar 2 lkn hadi muda huu matokeo hawatoi, hii ndio kawaida yao??
Sasa kama mtu amefaulu inakuwaje?? Au wao wanahisi watu wote wanaishi DODOMA?Mpka usiku hiyo kama kawaida yao sbria mkuu night
Duh hilo nafkri wanachojua ni jukumu lako kufika eneo la usailiSasa kama mtu amefaulu inakuwaje?? Au wao wanahisi watu wote wanaishi DODOMA?
Wewe usaili tarehe2 wenzio uku usaili ni kesho na mpaka muda huu ni bila bila😅🤣😂Hawa Utumishi wamalizie Hizo kada zilizobakia sasa, usaili uko tar 2 lkn hadi muda huu matokeo hawatoi, hii ndio kawaida yao??
Hiyo inaitwa jipimie...hahaha yn unajipimia marks kama unaona utatoboa unakaa krbu na eneo la tukio kama vipi unasepa tu 🤣Wewe usaili tarehe2 wenzio uku usaili ni kesho na mpaka muda huu ni bila bila😅🤣😂
Matokeo huwa yanapinduka.Unaweza kosa matumaini ndio ukafaulu.Kikubwa ni kusubiri tu mpaka mwisho.Hiyo inaitwa jipimie...hahaha yn unajipimia marks kama unaona utatoboa unakaa krbu na eneo la tukio kama vipi unasepa tu 🤣
ila kwasisi watoto wa wakulima mpaka kutoboa UTUMISHI, unakuwa na historia ngumu sana nyuma yake😤Hiyo inaitwa jipimie...hahaha yn unajipimia marks kama unaona utatoboa unakaa krbu na eneo la tukio kama vipi unasepa tu 🤣
Kukosa nauli,kusoma na kwenda kupigwa.Kulala stand,kulala njaa.Yaani ni balaa tupu..ila kwasisi watoto wa wakulima mpaka kutoboa UTUMISHI, unakuwa na historia ngumu sana nyuma yake😤
Kufokewa kudharulika na wakandaji n.kKukosa nauli,kusoma na kwenda kupigwa.Kulala stand,kulala njaa.Yaani ni balaa tupu..
Ni lazima UTUMISHI watambue kuwa sio kila mtu anaishi DodomaWewe usaili tarehe2 wenzio uku usaili ni kesho na mpaka muda huu ni bila bila[emoji28][emoji1787][emoji23]
Taasisi zote au wanasheria tu?Wanasheria waliokua wanategemea placements kutoka hasa waliofanya interview October 2022 hicho kitu kwasasa ondoeni kwenye akili zenu... Habari za Ndani hakuna placement tena
Si amesema hpo kwa wanasheria...means sio taasisi zote