mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Hahahahaha.Alitaka kuchanganya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha.Alitaka kuchanganya watu
Tulitakiwa tumalize kila kitu kwa kanda (Kanda ziongezeke), unasafiri kwa kuunga unga, unafika usiku, unalala stand tena na njaa, unafanya usairi na njaa, alafu unasubiri siku 2 matokeo uku hujui utalala wapi na utarudi kwenu vipi.Kukosa nauli,kusoma na kwenda kupigwa.Kulala stand,kulala njaa.Yaani ni balaa tupu..
Kumbuka unatafuta kazi Mkuu, kila mtu anayo historia yake kama ume afford kufika wewe muombe Mungu fanya interview kwa umakini mkubwa fanikiwa endelea na maisha.Tulitakiwa tumalize kila kitu kwa kanda (Kanda ziongezeke), unasafiri kwa kuunga unga, unafika usiku, unalala stand tena na njaa, unafanya usairi na njaa, alafu unasubiri siku 2 matokeo uku hujui utalala wapi na utarudi kwenu vipi. Alafu unashindana na mtoto wa mkubwa alieletwa na gari na kulala hotelini. Kama serikali (WIZARA YA ELIMU) imekataa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora kwa kuwa tu hao wanafunzi wanatofautiana sana kwa Mazingira ya kusoma na kipato, basi pia Written na Oral interview zifanywe kwa kanda zote ili tuwe ushindanishaji ulio sawa. Pia haina haja ya kumtesa mtu hadi Dodoma kwa interview ambayo hana uhakika ya kwamba ataipata, afanye karibu ya eneo lake arudi nyumbani kuendelea na maisha yake.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
hakuna placement tena ukimaanisha nini.it will take time ,cancelled, ? specifyWanasheria waliokua wanategemea placements kutoka hasa waliofanya interview October 2022 hicho kitu kwasasa ondoeni kwenye akili zenu... Habari za Ndani hakuna placement tena
Yeah afafanue vzr tujue mbivu na mbichihakuna placement tena ukimaanisha nini.it will take time ,cancelled, ? specify
Katika huu ulimwengu wa kibepari, don't expect mtu akuonee huruma.just pambana tuTulitakiwa tumalize kila kitu kwa kanda (Kanda ziongezeke), unasafiri kwa kuunga unga, unafika usiku, unalala stand tena na njaa, unafanya usairi na njaa, alafu unasubiri siku 2 matokeo uku hujui utalala wapi na utarudi kwenu vipi. Alafu unashindana na mtoto wa mkubwa alieletwa na gari na kulala hotelini. Kama serikali (WIZARA YA ELIMU) imekataa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora kwa kuwa tu hao wanafunzi wanatofautiana sana kwa Mazingira ya kusoma na kipato, basi pia Written na Oral interview zifanywe kwa kanda zote ili tuwe ushindanishaji ulio sawa. Pia haina haja ya kumtesa mtu hadi Dodoma kwa interview ambayo hana uhakika ya kwamba ataipata, afanye karibu ya eneo lake arudi nyumbani kuendelea na maisha yake.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
punguza jazba mkuuHawa Utumishi ni MAKOUMA sana, ndio maana malalamiko ni mengi hivi? Matokeo wanataka watoe lini au nauli wanatoa wao?
Sekretarieti ya AjiraHawa Utumishi ni MAKOUMA sana, ndio maana malalamiko ni mengi hivi? Matokeo wanataka watoe lini au nauli wanatoa wao?
Hahahaha, wewe jamaa, umeamua umshitaki kabisa....
🤔🤔 Hii Siku siwek Bundle la Internet
Big up mkuu, God is Good All the TimeHvi kwenye Oral interview ukipiga maswali ma4 freshy kati ya Yale 5 utashindwa kupata 50%. Naona 50+ ya kazi data inpatikana bila chenga au mnasemaje wakuu
Yaani hizi taasisi zangu 2 nazosubiria naamini yote itakayoanza basi nipo ndani dadeq😁Big up mkuu, God is Good All the Time
[emoji3][emoji3][emoji3] Kaka nilijitahid kuzifatilia mwishowe nikaona hazina maana haswa baada ya oral,,, hata kwenye web siingii saiviMkuu mbona siku hiz huleti updates za status au ushachoka kabisa[emoji16]
Balozi limited
Kwanza hata hazibadiliki me..[emoji3][emoji3][emoji3] Kaka nilijitahid kuzifatilia mwishowe nikaona hazina maana haswa baada ya oral,,, hata kwenye web siingii saivi
Yeah me nikiingia labda kucheki namba ya usaili nikiwa nina written, hizi status hamna issue hizi...unless tuje tuzielewe baadaeKwanza hata hazibadiliki me..
Sio vitu vya kujichosha navyo kabisa