Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Hawa jamaa sio poaa naona hiz ajira zina wenywe tyrNasikia tra wanaita watu uko via email
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa sio poaa naona hiz ajira zina wenywe tyrNasikia tra wanaita watu uko via email
Wametoa pdf....Nasikia tra wanaita watu uko via email
hivi kuna watu mpaka leo bado mnatafuta ajiraMajibu ya nafasi mlizoomba TRA angalieni kwenye wmail zenu wametupa Update
bora Utumishi....!!!Tra pdf tayar...raia wengi balaa
usikate tamaa kijanahivi kuna watu mpaka leo bado mnatafuta ajira
Sidhan kama n kwel hyoHawa jamaa sio poaa naona hiz ajira zina wenywe tyr
Hii inatisha...lakini ndio safi acha watu tukapate uzoefu
Pdf ipo kwenye site ya TRAWaliotumia email waje hapa tupate ushahidi
Ninanukuu.... walijitolea watepewa kipaumbele...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii inatisha...lakini ndio safi acha watu tukapate uzoefu
Wameita mkuu ingia web yaoHakuna aliyeitwa TRA achana na here says neno 'NASIKIA' limekaa kichonganishi sana
Lazima iwe ivo mzee TRA pale uhuni mwngi tusijipe moyo na sbb ya wao kujitoa utumishi ni nini kama sio kupenyeza wana waoNinanukuu.... walijitolea watepewa kipaumbele...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hii kauli nayo inakatisha tamaa....bora zirudi utumishi unaweza ingia hata kwenye database...siku ukabahatikaNinanukuu.... walijitolea watepewa kipaumbele...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hii ngoma inatafutwa watu kuwaingiza kazini kwa mgongo wamefanya Usaili kwa ushindani....Lazima iwe ivo mzee TRA pale uhuni mwngi tusijipe moyo na sbb ya wao kujitoa utumishi ni nini kama sio kupenyeza wana wao
Nchi yetu tunaijua mkuu wabongo sisi magumashi mengi huo ndo ukweli hapo rafu lazima ichezweeHii ngoma inatafutwa watu kuwaingiza kazini kwa mgongo wamefanya Usaili kwa ushindani....
Baada ya hapo utasikia imerudi Utumishi
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
.........Mbishi wa asiliHakuna aliyeitwa TRA achana na here says neno 'NASIKIA' limekaa kichonganishi sana
Asee ni kwel sio kwa iyo idadi kwa wa task management officer iv walihitaji watu wangap? Maana naona waliitwa ni zaidi ya watu 12000+Ninanukuu.... walijitolea watepewa kipaumbele...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app