Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.

Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.

Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
 
Nashauri kila aliyeitwa usaili wa TRA aende bila kutishwa na nyomi ya wasailiwa walioitwa! Inaweza kuwa ni fursa pia ya kuingia kwenye database ya TRA kama ukipenya oral yao. Hii inasaidia kuishi kwa matumaini!!
Ngoja tupambane aisee, sio kwa lile nyomi, ila nao wanadatabase kama ya PSPR kweli hawajamaa ?
 
Nashauri kila aliyeitwa usaili wa TRA aende bila kutishwa na nyomi ya wasailiwa walioitwa! Inaweza kuwa ni fursa pia ya kuingia kwenye database ya TRA kama ukipenya oral yao. Hii inasaidia kuishi kwa matumaini!!

Hili ni wazo zuri sana boss. Nakuunga mkono kwa asilimia zote.
 
Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.

Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.

Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
Siyo mbaya akiwahoji. Ajibu email waliyomtaarifu kuwa hajawa shortlisted kwa kuwaomba walitazame upya suala lake, kama kweli ana uhakika kuwa kuna aliowazidi lakini wameitwa kwenye usaili!
 
Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.

Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.

Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
Awacheki wenda wakamfikilia kwenye majina ya nyongeza.
 
Hizo namba za usaili mnazichukua wapi mazee, nmeingia huku sioni kitu
Au ndo mamb ya copy and paste kutoka kwenye matangazo ya utumishi?
 
Naomba kuuliza hivi kote usaili wa TRA ni wa Oral tu eh?

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
TRA inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 27 Mei 2023
mpaka 09 Juni, 2023 kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kwa hatua mbalimbali kuanzia tarehe ...

Key word hapo ni hatua mbali mbali. Means kuna hatua zaid ya 1.
 
Back
Top Bottom