Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TRA inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 27 Mei 2023
mpaka 09 Juni, 2023 kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kwa hatua mbalimbali kuanzia tarehe ...

Key word hapo ni hatua mbali mbali. Means kuna hatua zaid ya 1.
Sawa the issue is mbona wameeeka tarehe moja tu ndo naulza apo

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.

Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.

Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
Wengi wameachwa vigezo walivyo tangaza na walichofanya tofauti, kwanza kuanzia mfumo wao umekaa ovyo unahitani marekebisho ili iwe rahisi kuomba ajira. Nibora wawe wawazi kwamba wanataka vigezo kadhaa kuliko kukata majina watu bila reason ya msingi na mtubkafuatabutaratibu wote .
Kama TRA watachiwa waendelee na mfuomo wao, kuaniri huko ni ngumu sana kwa watu ambao hawana connection.Imeisha hiyo.
 
Nashauri kila aliyeitwa usaili wa TRA aende bila kutishwa na nyomi ya wasailiwa walioitwa! Inaweza kuwa ni fursa pia ya kuingia kwenye database ya TRA kama ukipenya oral yao. Hii inasaidia kuishi kwa matumaini!!
Data base TRA unadhani hiyo ni utumishi,taratibu zinawaruhusu kufanya hivyo hasa mwaka huu nakuendelea, maana wao wamekasimishwa ila usitegemee utoke kwenye data base wakati kuna watoto wao wapo hapo miaka na miaka.
 
[emoji21][emoji21].....Utasikia mwakan imerudi utumishi...wanapokezana

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwa izi za TRA tutegemee kusikia mengi wale wa kujitolea, internship hao tayari washasign mikataba ya kudumu, bado wale tumetumwa na mjamba, sijui dada kaniagiza hao nao watalamba asali bila pingamizi, sasa tusubirie izo gombania goli nawahakikishieni wataziuza nahakika pesa zitatembea, afadhali ya PSRS
 
Dogo langu ameangukia pua tena. Amefikia standards zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira lakini hajaona jina. Kwa anavyosimulia ni aliomaliza nao wanaofahamiana maisha ya chuo kwa maana ya matokeo na baada ya chuo kwa shughuli za uzoefu wakati akiamini amewazidi kwa vigezo vilivyohitajika, wameitwa ila yeye hajaitwa.

Sasa hapa nakwama hata namna ya kumpa ushauri kwa sababu hoja yake ni suala la kuitwa sio suala bahati nasibu, ni kufikia vigezo vya kiushindani.

Hebu tupeane mawazo kidogo maboss.
.............Poleni sana, Ingekuwa Sekretarieti angefuatilia akaongezwa kwenye usaili, ila huku ndio ishaisha hivyo.

Interview zote zirudi Sekretarieti ya Ajira.
 
Kwa izi za TRA tutegemee kusikia mengi wale wa kujitolea, internship hao tayari washasign mikataba ya kudumu, bado wale tumetumwa na mjamba, sijui dada kaniagiza hao nao watalamba asali bila pingamizi, sasa tusubirie izo gombania goli nawahakikishieni wataziuza nahakika pesa zitatembea, afadhali ya PSRS
Hatuna jinsi ya kufanya .....Zaidi ni kumtanguliza Mungu na kujiandaa ....
Ila hili jambo kuna mengi sana yapo nyuma ya PSRS Na TRA....ndo maana wamewait kauli ya tuwafikirie wakujitolea itolewe Bungeni...TRA watoe majina yao...inabidi tuwe wapole Mungu atatenda

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom