Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Unatembea na kibunda nin mkuu 😅😅Stendi pale usalama upo wa kutosha?
Pako salama pale 24hrs kuna harakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatembea na kibunda nin mkuu 😅😅Stendi pale usalama upo wa kutosha?
mkuu ,mtumishi wa halmashauri unawaza kwenda kulala stendi kweli??Stendi pale usalama upo wa kutosha?
Aiseemkuu ,mtumishi wa halmashauri unawaza kwenda kulala stendi kweli??
mbona unatuogopesha sisi incase ikitokea tumepangiwa LGA?
Kwa nionavyo ndani huko Kuna ukinzani mkubwa sana kati ya taasisi na PSRS, mama angeingilia kati arudishe Kila kitu psrsTaasis wasilete sababu tu waache PSRS waendeleee na mchakato kama kawaida
Watoto wa masikini tuna Imani kubwa na utumish.View attachment 2761547View attachment 2761557
Washushe pdf nzito....Kwa nionavyo ndani huko Kuna ukinzani mkubwa sana kati ya taasisi na PSRS, mama angeingilia kati arudishe Kila kitu psrs
..........Usimdanganye mwenzio.Sasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko uliko
Taasis wasilete sababu tu waache PSRS waendeleee na mchakato kama kawaida
Watoto wa masikini tuna Imani kubwa na utumish.View attachment 2761547View attachment 2761557
Mfwende umemsikiliza yule mkuu wa kitengo cha IT ,utumishi kwenye clouds 360 alichoongea ? ,au kuna mwanajukwaa yoyote aliyemsikiliza yule jamaa ?mkuu ,mtumishi wa halmashauri unawaza kwenda kulala stendi kweli??
mbona unatuogopesha sisi incase ikitokea tumepangiwa LGA?
Mimi nimemsikiliza ametoa ufafanuzi mzuri sana kuhusu Usawa kwenye mchakato wote wa ajira, kanzi data, Integration ya necta, TCU & Nacte, Automation ya mfumo, involvement ya wataalamu tofauti kwenye oral na written, n.k in short ameeleza vitu jobless wangependa kusikiaMfwende umemsikiliza yule mkuu wa kitengo cha IT ,utumishi kwenye clouds 360 alichoongea ? ,au kuna mwanajukwaa yoyote aliyemsikiliza yule jamaa ?
Naendaga na laki na ninatoboa.
Ila lazima nifikie kwa ndugu au jamaa nnayemjua.
Mara zote kesho interview mm natokaga usiku dar nafika dom saa 9 nashuka cbe namwambia boda anipelekee chako ni chako nikifika naagiza chipsi nawaambia wanipeleke vip hakuna makelele .
Asubuhi ikifika naingia zangu CIVE au SOCIAL napiga interview .
Hadi hapo nakuwa nimetumia.
25 nauli.
Boda na chakula usiku na nauli udom 15
Jumla 35.
mkuu ,hopely amekujibu vizuri black beastMfwende umemsikiliza yule mkuu wa kitengo cha IT ,utumishi kwenye clouds 360 alichoongea ? ,au kuna mwanajukwaa yoyote aliyemsikiliza yule jamaa ?
Sidhani kama kutakuwa na maswali mengine baada ya hii post,.japo hapo kwny uwazi wa database bado hapajakaa sawa.Naomba nianzie hapo hoja ya mwisho.
Baada ya majina kutangazwa kwa Tovuti, na mitandao ya kijamii pia wahusika hupigiwa simu kujulishwa na kama mtu yupo mbali na hawezi kufika Ofisi za Sekretarieti huwa tunatuma barua za kuitwa kazini kwa anuani za posta walizojaza kwenye portal
Dhima ya Sekretarieti ya Ajira ni Kuendesha Mchakato wa Ajira kwa Haki na Usawa. Kila Mtanzania mwenye sifa za Kuajiriwa ana fursa ya kuajiriwa.
Nafasi moja huwa inawaniwa na wastani wa wasailiwa watatu.
Tunapotangaza Nafasi ya Ajira, kila mwenye qualifications znazohusika akiomba huwa anaitwa kwenye usaili wa awali wa Mchujo ili naye awe ametendewa Haki na Mchakato huu unaendeshwa kwa Haki na Usawa.
Ukifaulu kwenye Mchujo ndo hatua ya Oral hufuata.
Kila atakayefaulu kwenye Oral Interview kwa kupata alama kuanzia 50 kwenda Juu anakuwa na sifa za Kuajiriwa.
Nafasi zinaweza tangazwa 40 na katika hao wasailiwa waliofaulu 40 hujazwa kwenye hizo nafasi lakini wanaobaki huwa wanawekwa kwenye Database, kuna Vibali vya Ajira vya taasisi mbalimbali huwa vinatoka aidha baadae au baada ya usaili wa awali kufanyika hivyo badala ya kutangaza usaili mwingine basi wale waliopo kwa Database huwa wanachukuliwa na kupelekwa kwa hizo taasisi kujaza nafasi hizo.
Kwa sasahivi Database haijawekwa open kwa kila muombaji, lengo la kwanza la kutofanya hivyo ni kutowafanya waombaji kazi kubweteka kutoomba nafasi zingine za kazi zinapotangazwa wakichukulia kuwepo kwao kwenye Database kunatosha na hawana haja ya kuomba tena ajira. Database inadumu na majina kwa muda wa mwaka mmoja tu.
Maswali huwa hayatungwi na Sekretarieti ya Ajira, bali yanaletwa na Taasisi iliyopata kibali cha kuajiri na kukabidhi hilo Jukumu kwa Sekretarieti ya Ajira.
Kama kazi ni ya Kitaaluma bas maswali yanatungwa na wanataaluma husika japo sio yote huwa ni yale ya kuclaimisha darasani mengine yanapima uelewa wako. Na hata usaishaji mitihani huwa haisahishwi na staff bali wataalam mbalimbali kutoka vyuoni, au kwenye kada husika ambao nao hawakufahamu kwakuwa hua hatuandikishi majina kwenye karatasi za mitihani so ni kama Nekta.
Marks za Mitihani yote mnayofanya huwa zinawekwa kwenye mfumo na selection inafanywa kwa mfumo kwa kucommand mfano, watu 30 kutokana na high performance zao kushuka chini wakwanza had wa 30 kisha wanapelekwa kwa vituo vya kazi
mimi nilimsikiliza kuanzia katkat had mwshoMfwende umemsikiliza yule mkuu wa kitengo cha IT ,utumishi kwenye clouds 360 alichoongea ? ,au kuna mwanajukwaa yoyote aliyemsikiliza yule jamaa ?
Na upande wa status mbona hajagusa kabisa...Naomba nianzie hapo hoja ya mwisho.
Baada ya majina kutangazwa kwa Tovuti, na mitandao ya kijamii pia wahusika hupigiwa simu kujulishwa na kama mtu yupo mbali na hawezi kufika Ofisi za Sekretarieti huwa tunatuma barua za kuitwa kazini kwa anuani za posta walizojaza kwenye portal
Dhima ya Sekretarieti ya Ajira ni Kuendesha Mchakato wa Ajira kwa Haki na Usawa. Kila Mtanzania mwenye sifa za Kuajiriwa ana fursa ya kuajiriwa.
Nafasi moja huwa inawaniwa na wastani wa wasailiwa watatu.
Tunapotangaza Nafasi ya Ajira, kila mwenye qualifications znazohusika akiomba huwa anaitwa kwenye usaili wa awali wa Mchujo ili naye awe ametendewa Haki na Mchakato huu unaendeshwa kwa Haki na Usawa.
Ukifaulu kwenye Mchujo ndo hatua ya Oral hufuata.
Kila atakayefaulu kwenye Oral Interview kwa kupata alama kuanzia 50 kwenda Juu anakuwa na sifa za Kuajiriwa.
Nafasi zinaweza tangazwa 40 na katika hao wasailiwa waliofaulu 40 hujazwa kwenye hizo nafasi lakini wanaobaki huwa wanawekwa kwenye Database, kuna Vibali vya Ajira vya taasisi mbalimbali huwa vinatoka aidha baadae au baada ya usaili wa awali kufanyika hivyo badala ya kutangaza usaili mwingine basi wale waliopo kwa Database huwa wanachukuliwa na kupelekwa kwa hizo taasisi kujaza nafasi hizo.
Kwa sasahivi Database haijawekwa open kwa kila muombaji, lengo la kwanza la kutofanya hivyo ni kutowafanya waombaji kazi kubweteka kutoomba nafasi zingine za kazi zinapotangazwa wakichukulia kuwepo kwao kwenye Database kunatosha na hawana haja ya kuomba tena ajira. Database inadumu na majina kwa muda wa mwaka mmoja tu.
Maswali huwa hayatungwi na Sekretarieti ya Ajira, bali yanaletwa na Taasisi iliyopata kibali cha kuajiri na kukabidhi hilo Jukumu kwa Sekretarieti ya Ajira.
Kama kazi ni ya Kitaaluma bas maswali yanatungwa na wanataaluma husika japo sio yote huwa ni yale ya kuclaimisha darasani mengine yanapima uelewa wako. Na hata usaishaji mitihani huwa haisahishwi na staff bali wataalam mbalimbali kutoka vyuoni, au kwenye kada husika ambao nao hawakufahamu kwakuwa hua hatuandikishi majina kwenye karatasi za mitihani so ni kama Nekta.
Marks za Mitihani yote mnayofanya huwa zinawekwa kwenye mfumo na selection inafanywa kwa mfumo kwa kucommand mfano, watu 30 kutokana na high performance zao kushuka chini wakwanza had wa 30 kisha wanapelekwa kwa vituo vya kazi
Si kasema dtabase haijawekwa wazi so status hapo hazina nafasiNa upande wa status mbona hajagusa kabisa...
Not selected for Oral
Selected for Oral
Baada ya kutoka kukandwa oral
Hajaelezea kwa nini taasisi zinakinzana na psrs?Naomba nianzie hapo hoja ya mwisho.

Huku njaa tu, mkurugenzi ana njaa, diwani ana njaa ni kama laana fulani. Na mshahara una viraka kibao.mkuu ,mtumishi wa halmashauri unawaza kwenda kulala stendi kweli??
mbona unatuogopesha sisi incase ikitokea tumepangiwa LGA?
Hilo swali aliulizwa lakn alijibu kuwa waziri chawene ameisha litolea ufafanuzi ko anaheshimu protocal.Hajaelezea kwa nini taasisi zinakinzana na psrs?
Status mbona zina maana kama zingekuwa hazina maana not selected wangekuwa wanatokea kwenye mapdf ya placement, lakn sijawai sikia wala kuona hicho kitu.Na upande wa status mbona hajagusa kabisa...
Not selected for Oral
Selected for Oral
Baada ya kutoka kukandwa oral