Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera kaka kapambane huko ndugu
Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).

Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.

Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.

Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
 
Habari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah

Hongera sana mkuu BALENSIAGA 👊👊👊

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kabisa na mvumilivu daima hula mbivu. Nakutakia majukumu mema katika ujenzi wa Taifa letu, kachape kazi mkuu. Katende haki na zingatia kufuata Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma.

Furahia mafanikio haya ukiwa na ndugu na jamaa zako mliosaidiana mpaka kufika hapo kwani kwa uhalisia haikuwa jambo rahisi, ni wengi wamebaki na ww umechomoka.

Pia, kumbuka kutoa Shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji kutoka katika jamii inayokuzunguka kama vile watoto yatina na wazee. Hakika Mema ya Mungu utaendelea kuyashuhudia😀😀
 
Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).

Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.

Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.

Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.

Hongera sana mkuu Stelingi

Hii haikuwa siri, bali ni jambo la wazi (dhahiri bin shahir) kuwa wakati wako wa kuingia katika payrol ya serikali ulikaribia. Uvumilivu wako, juhudi zako, mapambano, ushirikiano na wengine na kufurahia mafanikio ya wengine ilikuwa ni ishara tosha kuwa wakati wako upo karibu.

Katimize majukumu yako kwa moyo wako wote, ipende kazi yako pia nayo itakuletea matunda katika maisha yako. Zingatia kufuata Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma pale unapotimiza majukumu yako na pia katende haki.

Furahia mafanikio haya pamoja na jamaa zako wa karibu kuweka kumbukumbu hii isiyo futika katika utafutaji wako wa kazi. Pia, kumbuka kutoa Shukrani na kusaida makundi yenye uhitaji katika jamii inayokuzunguka kama vile watoto yatiima na wazee.

Hongera sana kaka, hata kitambaa cha ukapteni hujakizoea tayari umeshakiachia 😀 😀
 
shukran sana ayseee nitafanyia kazi ushauri wako na wa wadau wote
 
Itakua KIdata labda anasahisha wenyewe kajifungia chumbani au HRs wapo busy kupika matokeo kwa wasailiwa wanaowataka. HAIWEZEKANI, waondoe utaratibu @sekritarietiyaajira kwa kigezo cha kuchelewesha mchakato, then wao wasahihishe mitihani kwa zaidi ya mwezi moja. Si wangewauliza hata sekritariati huwa wanaalika watu gani kusahihisha na hata wakatumia muda mfupi
Kweli mkuu hali ni tete. Wanakaaje kimya mda wote huu. Wanasahisha nini?? Watoe hayo matokeo tujue. Na hapo utashangaa kuitwa kazini mwakaniiii mwezi wa sita
 
Nlikuwa na shauri kuwa kwa waliofaulu yaani kupata kazi. Watope na sisi tips za oral walizotumia kwa uwezo wa Mungu mpka wakapata job.

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
  • kwenye oral unatakiwa ujiamini
  • uwe na angalau knowledge ya maswali unayoulizwa(usiende opposite kabisa na swali), mfano unaweza kuulizwa Utaje components za Financial Statement, anza kwanza kutoka definition ya hicho Kitu (financial statements) halafu uje kwenye components kutoa definition Kuna maksi zake
-
 
Hakika Huyu mama bwana Tuache tu unafiki kila mtu na mapungufu yake lakini kwa kile alichojifanya Mungu ammbaruki sana huyu mama
Ni sahihi sana tunamshukuru sana Mungu kwa ajili yake Mama Samia, maana hali ilikuwa tete, nikikumbuka mwaka 2021 nafasi 6 za customs officer TRA , Interview candidates 15,000 hali ilikuwa mbaya sana , ila angalau kwa miaka miwili hii ya Mama vijana tumetoka sana kitaa.
 
Hiki kipindi Cha mama ni Cha kuomba kwa wingi amewatoa wengi katika ujobless
 
Back
Top Bottom