Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 wewe uliuona....???Admin amekosea kuuweka nini umetoka
Nauweka sio muda[emoji1787] [emoji1787] wewe uliuona....???
wekaaa.watu watoe ushuhuda...Nauweka sio muda
Ninao nashindwa kush are tu[emoji1787] [emoji1787] wewe uliuona....???
IT anacheza na hisia zetuWameufuta psrs waliweka sio muda
Nimekuwekea umeouna tena umeshiba people kama 300 IT kaufuta.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]IT anacheza na hisia zetu
Daah hatimae na mimi nimefikiwa ndugu zangu,Mungu ni mwema. Niache kubeba magogo sasa japo yana hela nyingi.Tunasbr shuhuda tu ila CDO's wanaupga mwing sanaaa
Hongera sana mkuu.Daah hatimae na mimi nimefikiwa ndugu zangu,Mungu ni mwema. Niache kubeba magogo sasa japo yana hela nyingi.
yaah nimeuona.atatoa kesho nahisi..Nimekuwekea umeouna tena umeshiba people kama 300 IT kaufuta.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Wa asubuhi Asubuhi ule[emoji120], shukrani sana ndugu yangu.Hongera sana mkuu.
Umepata kazi kwenye mkeka upi wa asubuhi au huu uliofutwa
hongera kaka...Wa asubuhi Asubuhi ule[emoji120], shukrani sana ndugu yangu.
Hongera sana mkuuDaah hatimae na mimi nimefikiwa ndugu zangu,Mungu ni mwema. Niache kubeba magogo sasa japo yana hela nyingi.
Mwezi wa nane waongezee majina maana kwa hii mikeka miwili itakuwa na watu zaidi ya mia 6 kiukweli masuala ya wazi itakuwa busy watatupumzika hadi wa 11 au wa 10 mwishoni huo mkeka wauongezee nyamaBasi wakipost kesho waongezee majina[emoji25]. Wa mwezi wa 8 naona tutapostiwa Dec kwa style hii.