Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kitaalamu Nitamshangaa Leo Atoe Majina 14... Thn Kesho au kesho kutwa liwekwe PDF jengine huo utakuwa ni Utoto..... Yani tuseme PDF kai merge Kajimegea 14 ndio aka post.

Utumishi Kumbe mmewafanyisha Watu interview Mwezi wa 6. Na majina hamkutoa ...Hivi mnajua Nauli Wakuu ilivyo Ngumu?? 😭
umeona sasa utumishi walivyo
 
Mkuu sikukatishi tamaa ila Artisan wa AC pale MNH hamna kitu, salary hata hio 500k haifiki...usiwe na higher expectations ukipata utajuta.

Kwenye maelezo ya kazi waliweka scale zao za salary sijui ilikua TGS ngap nshasahau ila I think ilikua 500k+ kama sijasahau....ila all in all ngojea tusubrie tuone kama tutachaguliwa au laa! Hayo mengne ndyo tutayabagein
 
sasa hivi hakuna interview wala tangazo lolote ilitakiwa kila baada ya masaa mawili wanatoa pdf..
 
Ila psrs aisee wanakera nakukera,yan unashindwa kuelewa tatizo ni nin has....dah wanatuletea msongo wa mawazo mkubwa Santa na sijui hii Hali itaenda mpaka lini
 
Yani wanatoa vimajina kwa kujisikia.. watu wamefanya interview Oktoba jamaa wapo kimya ila wa November wanalamba asali.

Hii taasisi ni moja ya majipu kwenye nchi hii, soon serikali itaifuta.
 
Back
Top Bottom