Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Asee hongereni sana wadau

Kuna watu wanaramba asali sehemu hadi unawaonea wivu japo tayari nipo kwenye ajira ila yangu sio asali ni masega.

Mpaka natamani siku zirudi nyuma nibadili kada.

Hongereni sana wadau
Mshukuru Mungu kwa ulichopata, ndo mkate wako huo! Jitahidi kucheza na fursa nje ya ajira yako. Nakuambia utakuja kuwashangaza wengi.
 
Nisahihi ni kwamba kuna mwenzangu kasema ikiwa hukujibu point 1 kati ulizoulizwa swali zima unafutiwa asee had kanitisha
Si kweli...si lazima ujibu vipengele vyote vya swali ili ufaulu usaili. Mfano swali linataka utaje vitu vitano (5). Maana yake hapo kila item katika hizo tano ina marks yake.

Ukiishia kutaja 3, basi utapigiwa hesabu ya items tatu. Then ukimaliza maswali yote watajumlisha umepata jumla ya marks ngapi?

Kama ukivuka marks hamsini kwa non teaching cadres...umetoboa.
 
NDUGU ZANGU MACHOZI YA FURAHA YAMENITIRIRIKA, HATIMAE MUNGU AMESIKIA DUA ZANGU [emoji120][emoji120], WAKUU NIMETOBOA

Hongera sana mtani uache kulalamaaa lalamaaa sasa[emoji23][emoji23]wakati wa MUNGU umekuonesha kwamba...Mungu huamua kwa ule wakati alioukusudia sio wakati unaohitaji wewe...HONGERA SANAAA BWANA NA AKUBARIIIKI UKAWE MTUMISHI BORA
 
Si kweli...si lazima ujibu vipengele vyote vya swali ili ufaulu usaili. Mfano swali linataka utaje vitu vitano (5). Maana yake hapo kila item katika hizo tano ina marks yake.

Ukiishia kutaja 3, basi utapigiwa hesabu ya items tatu. Then ukimaliza maswali yote watajumlisha umepata jumla ya marks ngapi?

Kama ukivuka marks hamsini kwa non teaching cadres...umetoboa.
Mkumbushe pia anaweza pata marks 50 na asiingie Oral interview [emoji817]
 
Mkumbushe pia anaweza pata marks 50 na asiingie Oral interview [emoji817]
Kama hivi, Sema hii naona huwa inawaumiza sana wenetu, Mungu awape nguvu...........
Screenshot_20231223_094903_OneDrive.jpg
 
Back
Top Bottom