Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

HUMU NAONA KUNA WATU WANAKAZI MAALUM YA KUSIFIA NA MUDA MWNGINE KUPONDA PSRS ILIWAONEKANA NA WAO NI JOBLESS. AU WAMEPATA PLACEMENT KIHALALI BILA CONNECTION.
hayo ni mawazo yako mkuu ila watu wanapata bila connection na wapo pia wanaokosa kwa maana hatuwezi tukapata wote kwa pamoja. kama leo umekosa basi pambana kwa ajili ya kesho.
 
Mimi ni kada tofauti kabisa na hizo mkuu, nilitaka tuu kupata abc za kuchomoka kupitia uzoefu wako.
Ili ufanikiwe unatakiwa Ujijue upo bora kwenye Kada ipi, Cz kuna watu yeye database yupo, Admin yupo, Networking yupo, Security twende, System analyst tuondoke...

Hapo hutoboi hata labda kwa miujiza... Jichagulie kada zako mbili au tatu... Yani wewe zikitokea nyengine huendi unaenda hizo tuuu... Yani ukiwa unapiga kila inayokuja mbele yako kutoboa kazi maana Unakuwa huna Taarifa sahihi za zile interview unaenda....

But mfano; umechagua zako Networking, Database ,Labda na Admin... So wewe unasoma hizo tuu na ku practice basi haichukui muda kufika Oral
 
Habari.

Nikiwa naenda kukalibia kumaliza mwaka 2023.

Nipende kuwapongeza utumishi kwa kidogo wanachojitahidi kufanya.
Changamoto zipo na zinakera.

Kwa upande wangu mm safari ya Kupambana na ajira za utumishi ilianzia 2021.

Nimeweza kufanya written 3 na written ya nne mwaka huu ndo nimebahatika kufanya oral.

Hivyo kwa sasa nina.

ORAL 1

WRITTEN 4

RECEIVED 0.

Ila BADO sijakata Tamaa nimejiandaa kwa Received na Placement yeyote ile.

Changamoto niliyoiona kwa PSRS...

1.Gharama katika interview hasa dodoma atleast uwe na laki 2 nayo kwa kujibana sana.

2.Utumishi bado kuna connection ila kwa kiasi kidogo sana nina ushahidi juu ya hili.

3.ucheleweshwaji wa placement.

Ahsanteni sana nimejiandaa kwa mwaka 2024.

Mungu nisaidie
 
Hapo uliposema written ya none ambayo ndio imekupeleka oral umemanisha nini chief??
Habari.

Nikiwa naenda kukalibia kumaliza mwaka 2023.

Nipende kuwapongeza utumishi kwa kidogo wanachojitahidi kufanya.
Changamoto zipo na zinakera.

Kwa upande wangu mm safari ya Kupambana na ajira za utumishi ilianzia 2021.

Nimeweza kufanya written 3 na written ya none mwaka huu ndo nimebahatika kufanya oral.

Hivyo kwa sasa nina.

ORAL 1

WRITTEN 4

RECEIVED 0.

Ila BADO sijakata Tamaa nimejiandaa kwa Received na Placement yeyote ile.

Changamoto niliyoiona kwa PSRS...

1.Gharama katika interview hasa dodoma atleast uwe na laki 2 nayo kwa kujibana sana.

2.Utumishi bado kuna connection ila kwa kiasi kidogo sana nina ushahidi juu ya hili.

3.ucheleweshwaji wa placement.

Ahsanteni sana nimejiandaa kwa mwaka 2024.

Mungu nisaidie
 
Wakuu hata mkiiniita nimekuwa wakara wa Utumishi, Its Fine....But Sali Omba Mungu kapige Interview ...Boss kule Nina uhakika , Mimi kwetu hakuna mtu aliyewahi kuwa Mtumishi but nimepata Tena bila connection ya Namna yoyote ileeee... Usikate tamaa zikitokea nafasi ombaaa. One day utafanikiwa kuyakata machungu ya nauli......

KWENYE SANDUKU LA KURA 2025 RAISI SAMIA ANAKURA YAKE KUTOKA KWANGU, AISEE AMENITOA JARARANI NILIPIGIKA, NILIKUWA NAKOSA HATA MIA TANO SOMETIMES.... NILIKUWA NAJIHISI MNYONGE SANA KUKAA NA WASHKAJI ZANGU ....sitosahau kuna siku nachati na demu ananiambia naomba vocha ya buku ,na kiukweli nilikuwa sina...Hapo nina Age ya miaka 32... Still sina muelekeo wowote nishajaribu kazi sehemu mbali mbali , amount kubwa kupata kwa mwezi ilikuwa laki 4.... Hapo nauli, kula ,kodi na upo Mkoa wa watu..... Mungu amuweke raisi samia... Azidi kuwainua watoto wa masikini, hii cake anahakikisha wote wanaila...🙏, Wakuu neno langu moja usikate tamaaa, usikubali kikwazo chochote kikurudishe nyuma, Kaza shikilia hapo hapo kwa utumishi unauramba 🙏
 
Mkuu umepata/ulipata /ulipangiwa wapi?
Hongera pia!
 
Yani Kipindi Hichi cha Rais Samia Ndio Kwa kutobolea , Nafikiri Tuliona wakati yupo Mkubwa Yule...issue zilikuwa hazisomeki ...But mama wa watu hana shida ...anawarambisha Asali watoto wa masikini... Japo kuna kundi pia wanataka kumkwamisha wale ambao wanataka taasisi ziajiri wenyewe.....Eti majina ya kuitwa kazini yalitumwa kwa EMAIL 🤣, sasa kama email ili fail je??? Maana hata sms muda mwengine huwa zina fail
 
Wakuu hata mkiiniita nimekuwa wakara wa Utumishi, Its Fine....But Sali Omba Mungu kapige Interview ...Boss kule Nina uhakika , Mimi kwetu hakuna mtu aliyewahi kuwa Mtumishi but nimepata Tena bila connection ya Namna yoyote ileeee... Usikate tamaa zikitokea nafasi ombaaa. One day utafanikiwa kuyakata machungu ya nauli......

KWENYE SANDUKU LA KURA 2025 RAISI SAMIA ANAKURA YAKE KUTOKA KWANGU, AISEE AMENITOA JARARANI NILIPIGIKA, NILIKUWA NAKOSA HATA MIA TANO SOMETIMES.... NILIKUWA NAJIHISI MNYONGE SANA KUKAA NA WASHKAJI ZANGU ....sitosahau kuna siku nachati na demu ananiambia naomba vocha ya buku ,na kiukweli nilikuwa sina...Hapo nina Age ya miaka 32... Still sina muelekeo wowote nishajaribu kazi sehemu mbali mbali , amount kubwa kupata kwa mwezi ilikuwa laki 4.... Hapo nauli, kula ,kodi na upo Mkoa wa watu..... Mungu amuweke raisi samia... Azidi kuwainua watoto wa masikini, hii cake anahakikisha wote wanaila...[emoji120], Wakuu neno langu moja usikate tamaaa, usikubali kikwazo chochote kikurudishe nyuma, Kaza shikilia hapo hapo kwa utumishi unauramba [emoji120]
Kila la kher mkuu.... check number tyr fanya uoe sasa miaka 32 si haba[emoji3](jokes).
 
Yani Kipindi Hichi cha Rais Samia Ndio Kwa kutobolea , Nafikiri Tuliona wakati yupo Mkubwa Yule...issue zilikuwa hazisomeki ...But mama wa watu hana shida ...anawarambisha Asali watoto wa masikini... Japo kuna kundi pia wanataka kumkwamisha wale ambao wanataka taasisi ziajiri wenyewe.....Eti majina ya kuitwa kazini yalitumwa kwa EMAIL [emoji1787], sasa kama email ili fail je??? Maana hata sms muda mwengine huwa zina fail
Mkuu umefanikiwa kufanya oral ngap?

Na vp walioko database watalamba asali Kila mtu kwa wakat wake cyo?

Mung ni wetu sote.
Tuendeleen kuongeza received.
 
Kila la kher mkuu.... check number tyr fanya uoe sasa miaka 32 si haba[emoji3](jokes).
Kaka Mshahara wa Kwanza tu, Naoa Maana wakati najaza form HR .anasema umeoa nasema hapana , Una mtoto nasema hapana ...thn nina miaka now 33 akauliza... So ukizaa now Tuseme na miaka 34 unajua mtoto wako wa kwanza akifikisha umri kama wako wewe utakuwa ushastaafu 🤣🤣, nikwambia Mkuu we acha tu , jobless thn niwe nimeoa si ningekuwa nachapiwa tu ..maana kula yangu yenyewe ilikuwa papatu papatu
 
Kaka Mshahara wa Kwanza tu, Naoa Maana wakati najaza form HR .anasema umeoa nasema hapana , Una mtoto nasema hapana ...thn nina miaka now 33 akauliza... So ukizaa now Tuseme na miaka 34 unajua mtoto wako wa kwanza akifikisha umri kama wako wewe utakuwa ushastaafu [emoji1787][emoji1787], nikwambia Mkuu we acha tu , jobless thn niwe nimeoa si ningekuwa nachapiwa tu ..maana kula yangu yenyewe ilikuwa papatu papatu
Mkuu mung ni mwema.
Ukitaka kuoa uje apa jukwan tukuchangie..wengne tumeoa na 22 yrs[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Na hicho kitu ndio kilikuwa kinaniumiza yani unakuta madogo wa mtaani washafanya kila kitu kinachohitajika kufanywa na kijana , kama kuoa, na kujitegemea thn ww brother mkubwa hueleweki...mimi kuna siku niliwahi ambiwa kama kazi ngumu kupata basi sukuma hata boda kwanza mbona vijana wengi tu na degree zao wanasukuma boda...daah nilijihisi kudharaulika sana... G.P.A yangu ya 4.1 nilikuwa najitahidi kusoma shule since darasa la kwanza ndio mwisho wangu uwe Boda...nilifedheka sana... Nikamjibu mzee nikamwambia ni heri nisingesoma But now nakubali niambieni nachagua kazi niiteni jina lolote lakini kazi za fedheha sifanyi... Na hadi mtaani wale wa mama walishaanza maneno eti oohh tulikuwa tunamwangilia tu msomi ,msomi mbona yupo nyumbani miaka yote...kusoma mchezo Daaahh wakuuu ngojeni nitashusha thread ya Maisha tunayopitia jobless.
 
Umepata placement kitengo gani? au ni Halmashauri Kama mimi
 
Wakuu hata mkiiniita nimekuwa wakara wa Utumishi, Its Fine....But Sali Omba Mungu kapige Interview ...Boss kule Nina uhakika , Mimi kwetu hakuna mtu aliyewahi kuwa Mtumishi but nimepata Tena bila connection ya Namna yoyote ileeee... Usikate tamaa zikitokea nafasi ombaaa. One day utafanikiwa kuyakata machungu ya nauli......

KWENYE SANDUKU LA KURA 2025 RAISI SAMIA ANAKURA YAKE KUTOKA KWANGU, AISEE AMENITOA JARARANI NILIPIGIKA, NILIKUWA NAKOSA HATA MIA TANO SOMETIMES.... NILIKUWA NAJIHISI MNYONGE SANA KUKAA NA WASHKAJI ZANGU ....sitosahau kuna siku nachati na demu ananiambia naomba vocha ya buku ,na kiukweli nilikuwa sina...Hapo nina Age ya miaka 32... Still sina muelekeo wowote nishajaribu kazi sehemu mbali mbali , amount kubwa kupata kwa mwezi ilikuwa laki 4.... Hapo nauli, kula ,kodi na upo Mkoa wa watu..... Mungu amuweke raisi samia... Azidi kuwainua watoto wa masikini, hii cake anahakikisha wote wanaila...🙏, Wakuu neno langu moja usikate tamaaa, usikubali kikwazo chochote kikurudishe nyuma, Kaza shikilia hapo hapo kwa utumishi unauramba 🙏
Uandishi wako mbovu, l na r zinakusumbua, Wakara, anauramba,
Ajira ni haki Yako sio politically motivated
 
Na hicho kitu ndio kilikuwa kinaniumiza yani unakuta madogo wa mtaani washafanya kila kitu kinachohitajika kufanywa na kijana , kama kuoa, na kujitegemea thn ww brother mkubwa hueleweki...mimi kuna siku niliwahi ambiwa kama kazi ngumu kupata basi sukuma hata boda kwanza mbona vijana wengi tu na degree zao wanasukuma boda...daah nilijihisi kudharaulika sana... G.P.A yangu ya 4.1 nilikuwa najitahidi kusoma shule since darasa la kwanza ndio mwisho wangu uwe Boda...nilifedheka sana... Nikamjibu mzee nikamwambia ni heri nisingesoma But now nakubali niambieni nachagua kazi niiteni jina lolote lakini kazi za fedheha sifanyi... Na hadi mtaani wale wa mama walishaanza maneno eti oohh tulikuwa tunamwangilia tu msomi ,msomi mbona yupo nyumbani miaka yote...kusoma mchezo Daaahh wakuuu ngojeni nitashusha thread ya Maisha tunayopitia jobless.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uandishi wako mbovu, l na r zinakusumbua, Wakara, anauramba,
Ajira ni haki Yako sio politically motivated
Mazingira Mazuri Ya Uongozi ,Ndio Yamesababisha Nipate Mkuu. Na siasa ndio inaamua kila kitu. Si unaona magufuri alizuia kuajiri na watu wengine hawakuwa promoted hata kazini?? Hata bei ya sukari ni politically motivated mkuu hatuwezi tofautisha siasa na maisha ya kila kitu. So shukrani zangu kwa serikali ya mama samia...Boss nikikuambia nilipauka sijui unaelewa Mkuu
 
Back
Top Bottom