Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nina tender ya kusupply tani 45 za raw material xxx kila mwezi kiwanda fulani hivi ni na zina nipa 7M net profit mdogo wangu, tulia mdogo wangu watu wana mawe humu haugusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtaalamu wa TENDA YUPO JUKWAA LA AJIRA LA JOBLESS ila hii nchi watu wake wana vituko 🤣🤣
 
Mtaalamu wa TENDA YUPO JUKWAA LA AJIRA LA JOBLESS ila hii nchi watu wake wana vituko [emoji1787][emoji1787]

Dogo wewe ni kajinga sana, wenzako wapo humu kujifunza trick za waliofanikiwa interview mbali mbali na kujifunza kupitia shuhuda za watu, binafsi wapo ambao nawasiliana nao kwa simu wengine walikuwa na uhitaji wa nauli za kwenda kwenye interview,tumeshirikiana na wapo taasisi nyeti sana walitoa shuhuda zao humu na hakuna anayejua basic zao wala taasisi zao ila wewe chinga ndo umetisha.

Tumepata mashavu mazuri ila tumo kushauri na kusaidia panapowezekana, wewe haumuoni Mwifa na wenzake wanavyo heshimika kwenye uzi huu ila wewe sasa utafikiri ulikuwa na ugomvi na watu humu ndani.
 
Mkuu Punguza Ushauri kwenye masuala yanayozungumzia Hela... Mimi nipo likizo ya week mbili, After that week nitakuwa na majukumu ya kujenga taifa langu, kwa watu walioniamini.... So punguza ushauri TENDA YA 7M ,unashinda jukwaa la Jobless 🤣🤣 Nyieee
 
Mkuu Punguza Ushauri kwenye masuala yanayozungumzia Hela... Mimi nipo likizo ya week mbili, After that week nitakuwa na majukumu ya kujenga taifa langu, kwa watu walioniamini.... So punguza ushauri TENDA YA 7M ,unashinda jukwaa la Jobless [emoji1787][emoji1787] Nyieee

Jukwaa la ajira na tenda hili dogo GPA hiyo ulidesa nini?
Ni kuongezee hii ni Director wa kampuni yangu, unavyoambiwa watu wana CPA wana biashara zao nje ya ajira ndio maana yake dogo, hiyo hela ni kiduchu mno na kama unaijua utility curve na tabia zake jitulize.
 
Guys am so excited, natamani kuwaeleza jambo ila kwa furaha niliyonayo Ntaharibu. Nikitulia ntarudi

Ila tu niseme Nimetoboa pdfla leo.
nilipiga oral interview mwezi wa 10/18
TANAPA.

Hongera sana mkuu Wansakieki 👏👏

Nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma, napige kazi kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za kazi yako, Pia katende haki.

Furahia ushindi huu pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kusherekea mafanikio hayo kwan haikuwa rahisi mpaka kufika hapo.

Mwisho, kumbuka kutoa Shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji katika jamii kama watoto wenye ulemavu, watoto yatima, wagonjwa n.k

👊👊👊💯
 
NDUGU ZANGU MACHOZI YA FURAHA YAMENITIRIRIKA, HATIMAE MUNGU AMESIKIA DUA ZANGU 🙏🙏, WAKUU NIMETOBOA

Hongera mkuu Utumishi wako fair

Nakutakia mafanikio katika kazi yako uliyopata, katende haki. Pia zingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa umma pale unapotimiza majukumu yako.

Sherehekea mafanikio haya ukiwa na ndugu na jamaa zako wa karibu kuweka kumbukumbu hii nzuri katika maisha yako.

Mwisho, kumbuka kutoa Shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji toka katika jamii inayokuzunguka kama watoto yatima, wenye ulemavu, wagonjwa n.k

👊👊👊💯
 
Ka story just for encouragement nothing else,

Miezi 12 iliyopita nilikua huko Geita ndani ndani, ni baada ya kuzunguka sana kwenye maofisi ya hapa mjini daslamu kutafuta sehem ya kujitolea.... nilianzaga na moto sana baada ya kumaliza chuo 2021,si unajua tena ka GPA nako kalinipa kichwa. Nilipigwa ndoige matata sana baada ya kukosa sehemu zote nilizoomba, apo ndo akili ikaanza kunikaa sawa sasa kumb mamb hayako kama navyofikiria. Ilinivunja san moyo na Nikakata tamaa kabisa na degree yangu, ndipo nikaamua kuweka vyeti vyangu chini ya begi na kuingia shamba huko Geita ndani ndani kabisa. Maisha yalinipiga san huko acha kabisa had nafikia kpindi sina ata hela ya kununua zile ndala kam za gest, apo nina marapa yangu yameishia visigino vyote vinakanyaga chini,,,, yan nimepiga sana jembe kweny vishamba vyangu & kuchunga ng'ombe ili nipate hela ya mbegu na mbolea,, kilimo kinahitaji hela nyie acheni kabisa... licha ya juhudi zangu mwisho wa siku kwenye kilimo nikaambulia sufuri yan sikupata ata muhindi wa kuchoma.. kilimo cha kutegemea mvua kiache kama kilivyo.

Kumbuka kipindi icho nahenyeka huko nilikuwa nisha give up na mamb ya ku apply kazi japo nilijitosaga kwenye zile nafas za mwaka jana za tra na mda ila sikuwa na matumain makubwa sana ila nilijaribu tu ili baadae nisije nikajilaumu na mwisho wa siku zote nikakandwa,Na ni ktk wakat huo huo nilianza tembelea huu Uzi,aise huu Uzi ulinipa matumaini sana kupitia shuhuda za humu nikaona kumb inawezekana, basi from there imani yangu yoote nikaiweka utumishi. Hapo sasa nikaamua kurudi mjini daslamu kujiandaa kuingia vitani rasmi sasa maana kule nilikokuwa hakukuwa ata na umeme.

Basi kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu nikaanza kula msuli mdogo mddogo japo sikuwa na recieved ila nilijua wataleta tu huko mbele, basi mwez wa 5 mwaka huu mara TANAPA hao na nafasi zao 7 za taaluma yangu, nikasema nakufa nao hawa,, sijakaa vzuri TRA nao hao na nafasi zao 200+ za TMO nikaruka kwa furaha kweli nikajisemea awamu hii lazima mniambie kipi kilianza kati ya kuku au yai lakn kuja kushtuka kumbe tra is no longer under utumishi, nikaamua kupiga chini za tra japo niliomba na nikaitwa ila sikuwahi soma na ata interview yao sikwenda,, niliamua ku focus za zile 7 za TANAPA,, week 1 baada ya written za tra, TANAPA nao wakatuita,, nikaenda kupiga written bana.... jamn eeh ikiwa imefika ni imefika tu,, interview tuliitwa watu 2300+ lakn written tukapiga 900+ Yan ata nusu ya walioitwa hatukufika... Bas oral tukatoboa watu 45 na cutting point ilikuwa ni 84%. So kwenye hao 45 watu 7 wakakacha, bahat iliyoje tena so oral tukapiga watu 38 nafasi nilizopo ni 7 tu, placement zimetoka wamechukua watu 9 badara ya 7.... jamn tips zote zilizonisaidia zooote nimetoa humu....huu Uzi umenitoa matopeni.👇👇👇👇

•jiandae vizuri kabisa na swali la explain about yourself, ukivuruga hili utapanick ivyo utavuruga na mengne.
•ukiachana na maswali ya taaluma yako jiandae na maswali ya
-what are the duties of the post u have applied.
-what are the challenges u are expecting to encounter at your work place(hili niliulizwa)
•nenda kwenye saili ata kama nafasi n chache
•soma sana bila kusahau kusali kwa Mungu wako. Hakikisha unakuwa na imani, Mungu hajibu kile unachoomba bali imani yako juu ya uombacho.

asante sana psrs, asante sana wadau wote wa humu for encouragement na kupeana tips.

Hongera sana mkuu👏👏 hii ndio maana halisi ya mpambanaji.

Hakika uzi huu umebarikiwa 🙏🙏🙏.
 
-inaonekana una uelewa mdogo Sana, japo unasema una 4.1gpa
-nbaa ndio bodi ya uhasibu na kila mwenye CPA Tanzania hii amepewa hiyo CPA na hiyo bodi, hivyo hiyo kauli ya kusema "wakati wenzie wapo sijui NBAA" ni kauli ya hovyo na ya kijinga
  • CPA usilinganishe na hiyo Kozi Yako ya computer,
  • Mimi nishkwambia sio Level yako mimi ni Tax Consultant, Advisor,Auditor, Supervisor sitegemei salary, nasajili makampuni, nk Kama Ww kwa sababu nafanya kazi zangu binafsi na za serikali hata kabla ya Kuajiriwa, sio Kama wewe umepata kazi ndio unawaza kuoa tafsiri yake hukuwa na uwezo hata wa kupata Milioni 1 kabla ya ajira.
Hiyo GPA ya 4.1 sijui aliipata chuo gani wanareward honors grades Kwa wapumbav vilaza kama huyo .
Hicho chuo ni cha wapumbavu bila shaka
 
Ndugu yenu pia hii ni December to Remember Mungu amenitendea.

Nawasihi msikate tamaa pambaneni.

Hongera sana mkuu Muju4 👏👏💯

Nakutakia kila lenye kheri katika majukumu yako mapya, katende haki na kufanya kazi kwa bidii. Katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma.

Kumbuka kutoa Shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji kama vile watoto waliozaliwa na changamoto za viungo, watoto yatima, wagonjwa n.k.

Hakika mema mengi yatazidi kutiririka katika maisha yako.

👊👊👊💯
 
............ ........Nipo na IT hapa Makulu anauliza mnataka shuhuda kabla ya mwaka mpya au akaushe kwanza mwaka upinduke?
 
Jobless tunaish kwa matumain sana[emoji3]
Mkuu usijali, Kama ulifanya Oral Mungu atatenda miujiza kikubwa usikate tamaa na usipoteze imani kwake... Kila kitu kinawezekana...

Mimi nakumbuka nilianzaga kufanya interview 2021 ya TRC interview yangu ya kwanza nilipata 58, wakanikanda walichukua kuanzia 60. Ilikuwa ya System Administrator.... Niliumia sana kwa sababu aim ya kwenda kufanya haikuwa kufauru na kupata kazi balu kujifunza , sasa zile marks zili ni impress wangenichagua nikaenda practical nijue najifunza nini tena practical.

But sikukata tamaa, but sisi course zetu watu wa IT hazitoki nafasi mara kwa mara ni mara chache sana so ikikupita unaweza subira hata miezi 6 tena. Inshort watu wa IT kwa mwaka kafanya sanaaa interview ni tatu.... Hata range yetu ya kupata placement sio kubwa.... Unaweza kuta mwaka uliopita watu wa Tehama kuchukuliwa hawazidi 50.

Basi kama sikosei hiyo TRC , ilikuwa mwezi wa kwanza au wapili mwishoni.. nikakaaa miezi mingi takribani miezi sita ila nafasi zilikuwa zinatoka but ubaya yani IT ni kubwa.... Kuna networking, administrator , database, security, web developer ,programmer etc....

Sasa unatakiwa uwe umejitune unapoona unapaweza ukienda tu kila interview unakuwa unapoteza hela zako, cz mfano mimi najijua kabisa hapo Database siwezi kivile kwenda kubahatisha, so inabidi usubilie kile unachoweza ndio tangazo litoke ndio uende, but kuna watu wanajiweza wao zote twende.

Basi bwana ,mimi nikachagua za kufanya so nikawa nachukua material, pamoja na video tutorial huku nikajiunga group la watafutaji la utumishi, so watu wakienda wanashare leo maswali yalikuwa hivi ....basi ukiona hiyo topic naenda nasoma kidogo kidogo na practice hivyo yani....

Basi bwana:...... Kusoma ikawa daily routine yangu, sio kila siku but nikipata muda nasoma yani haiwezi pita week 2, sio kusoma ile serious viileeee ...no sometimes upo kitandani unacheck video tutorial na notes au una solve maswali hivyoooo... Mara unaingia website za maswali na majibu ili mradi kichwa kisipoe kikasahau...., Nilikuwa nasoma any useful material ambayo nilikuwa naona yanaweza nisaidia...

Pia nikawa nimenunua note book, pale mbele nikaweka target kuwa nikienda interview yoyote basi written nisishuke 75% ...practical pia niliweka nakumbuka na oral niliweka tu pass ...

So maisha yakawa yanendelea huku experience nyengine napata humu, kwenye hili jukwaaa.... Mimi hadi kujibu oral nilichukua humu technique kuna mtu aliwahi andika humu .... Hasa lile swali la Education background / tell us about yourself ....

So nikaendelea ,huku nasubiria tangazo la kazi litokeee.... Pia nilikuwa naombaga na private but kule ilikuwa kama tu nikipata nijishikize but my dream was serikalini kwa sababu ya Security pia nilikuwa naimani Carrier yangu itakuwa haraka sana....

Nakumbuka mpka mwaka 2021 unaisha hazikutoka kazi tena za system administrator baada ya zile za TRC ...tukaingia 2022........Itaendeleeaaaa

Nb: Watu wa tehama mnaweza chukua experience mkajaribu kupractice....
 
Endelea mkuu u jobless huu kaz kwelkwel...wakat mwngine unachoka ila ukiangalia nyuma una kund kubwa linakutegemea
Mke
Watoto
Bi mkubwa
Wadogo zako.
Yaan kwa kifupi ni shda tu
 
Back
Top Bottom