Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sema yote kufurahisha genge lakini kwa hile nyomi bila Mungu kusimama upande wako hutoboi
Au sio mkuu, kwahiyo wale ambao wanakosa kazi katika hilo Nyomi ni Shetani ndio anakuwa kasimama upande wao kiroho Safi Kabisa

Vile mnamuongelea Mungu ni as if mnamuongelea Binadamu vile, yani mnafanya aonekane kama vile ana upendeleo Kati ya watu Fulani Fulani na wengine kawatenga kabisa, kuna sehemu nyingi tu Mungu amewaachia wenyewe mjipambanie na alie Bora atoboe

Natoa Elimu ambayo inaweza kusaidia watu unaita mbwembwe....! Anyway, labda nikwambie tu watu kama nyie kuendelea kuwepo ni Jambo zuri sana kwa sababu mnapunguza competition kati ya wale ambao wanaamini kama anataka kufanikiwa katika Jambo Fulani anatakiwa awe competent

Nyie mnaamini ili muweze kufanikiwa katika Jambo Fulani mnatakiwa kuongeza MAOMBI, na hamuumii ata mkifeli au kukosa kwa teyari mna kisingizio chenu cha kusema kuwa Mungu hakupenda nipate, saaafi kabisa endelea kusubiri Apende ili upate

So badala ya kufanyia kazi madhaifu yenu na madhaifu ya wengine ili muwe Bora nyie endeleeni kuzidisha Maombi, hivi vitu ni vidogo sana kwa Mungu ndugu zangu, Mungu hawezi kushindwa kukupa kazi kama alikupa UHAI
 
Yani jamaa unaongea ukweli kabisa
 
Kuna watu wako competent kabisa na cv nzuri lkn wanakosa Kazi ,all in all tujitahidi kuwa competent na kusali Mungu hatotuacha
 
PSRS ni mkombozi wa watoto wa maskini...
Jana ubishi umeniisha...
Nimekuta dogo mmoja mtoto wa kigogo serikalini akisaini mkataba wa taasisi geto..
Anasema kapata kituo cha kazi.
Nimechoka
Hata matajiri pia, inategemea ulijibu vipi maswali siku ya oral
 
PSRS ni mkombozi wa watoto wa maskini...
Jana ubishi umeniisha...
Nimekuta dogo mmoja mtoto wa kigogo serikalini akisaini mkataba wa taasisi geto..
Anasema kapata kituo cha kazi.
Nimechoka
Hapo ukute hata interview hajafanya labda baada ya kumaliza chuo alikuwa hapo anajitoleà huku akipewa posho ya laki 8 isiyo na makato.
Narudia tena kusema walioanza kazi za juzi TRA majina yao yakiwekwa mtandaoni nusu yao hawajafanya usaili kabisa kuitwa kwa email kuna siri kubwa.
 
Kuna watu wako competent kabisa na cv nzuri lkn wanakosa Kazi ,all in all tujitahidi kuwa competent na kusali Mungu hatotuacha
Mkuu we kuwa competent tu kwa sababu hupungukiwi kitu na wala sio dhambi, na mwisho wa siku kazi zina idadi ya watu ambao wanatakiwa hivo lazima kuna ambao watakosa na wapo ambao watapata

ila tu kitendo cha wewe kuwa competent kinatosha kabisa kukuweka kwenye kundi la ambao wanaweza kupata kuliko kundi la ambao wanaweza kukosa, na mwisho wa siku ata ukocompetent pia unazidiana, ndomana kila mtihani lazima awepo wa Kwanza na wa mwisho haijarishi wamekutanishwa the Best est of the Best

Mwisho wa siku kama ulianzia mwanzo wa hii mada utakuwa unaelewa ni u competent upi tunaongelea, unaweza kuwa competent katika fani yako ila uko shallow katika ku deliver, hapa tunaongelea kuwa competent katika kudeliver ata kama uko shallow kwenye Material

Watu wengi wanakosa kazi kwa sababu hawana uwezo wa kujielezea haijarishi unajua vitu au hujui vitu, na haijarishi ulimuomba Mungu wako au hukumuomba, kama we hujui we hujui tu hakuna miujiza hapo

Interview ina Mambo mengi sana lakini kubwa ni namna gani utaweza kujicontrol, ni namna gani utaweza kuovakamu pressure and Fear during Oral interview, kuna watu kwenye oral anasahau kila kitu hadi background yake kisa tu kupanick

Hawatokwambia ila kuna ambao akiulizwa maswali akapaniki anaanza kulia, mwingine sauti haitoki, mwingine anaganda kuangalia juu tu ili akumbuke points ila wapi, mwingine ataanza kukata kucha kwa Meno, mwingine atajisalimisha Tu kuwa ameshindwa anaomba atoke

Sasa wewe ukishajua hayo huwa yanatokea chukua hiyo fursa na ifanyie kazi, jitajihidi uwe competent kwenye kuzungumza,usipanick ata kama swali hulijui kwa sababu calmness itakuwa kujibu swali linalofata, usipanick kwenye swali la kwanza ata la pili pia utapanick

Kula buku kuhusu basics knowledge Katika fani yako, hasa vitu ambavyo likely unajua utaenda kufanya ukipata kazi,jua majukumu yako yote kisha ingia YouTube kucheki ni namna gani unaweza kuwa competent kwenye kuzungumza,cheki gesture ambazo zitakusaidia kulower blood pressure,cheki body language and posture cheki unaweza vipi kuwa relaxed during interview

Hivi vitu wakuu huwezi kuvipata kwenye Bible wala Qur'an tukufu, huwezi kuvipata kwa prophet wala Ostadh, Mungu hawezi kubadili 25% iwe 60%, Mungu hawezi kukupa uwezo wa kuongea kingereza kwenye chumba cha interview ilhali we hujui, hivi vitu lazima uwekeze Muda wako kuvitafuta na ndio vitakavyokutoshautisha na wengine

saizi wahitimu tumekuwa wengi sana Nchi hii na Ajira ni chache Kwahiyo bila kuwekeza kwenye Maarifa yenye tija tutabaki tunalia na bahati Tu, tutabaki tunalia na Ridhki Tu na bahati mbaya almost 70% ya wahitimu tunategemea kuajiriwa na sio kujiajiri kutokana na background zetu, sasa kama ukweli ndio huo kwanini uende kwenye interview ukiwa Mweupe kama unaenda kwenye Harusi

Interview ngumu zipo private sector, kama utajiandaa vizuri interview za Serikali ni very Friendly, ziko open sana na nyepesi sana ispokuwa ni mazoea tu hatuna ya kuongea kingereza, kujielezea kwa kingereza, na kufanya mitihani kwa Oral, kwa wale ambao mitihani yao vyuo vikuu ilikuwa lazima ni Theory, practical and Oral watakubaliana namie kuwa hizi Mambo kwao wanao rahisi kwa sababu walishazoea

Kwahiyo ni either mtake au msitake ila ukweli utabakia pale pale, tunapenda sana kupeana lugha za kufarijiana kama watoto wadogo vile,kwa mawazo ambayo tunayaendekeza tutaendelea kujenga kizazi cha kushindwa kila siku na kujipa matumaini kupitia Mungu, Maskini tunafeli sehemu ndogo sana nayo ni MINDSET
 
Kwahiyo ni either mtake au msitake ila ukweli utabakia pale pale, tunapenda sana kupeana lugha za kurarijiana kama watoto wadogo vile,kwa mawazo ambayo tunayaendekeza tutaendelea kujenga kizazi cha kushindwa kila siku na kujipa matumaini kupitia Mungu, Maskini tunafeli sehemu ndogo sana nayo ni MINDSET
Mkuu nimekuelewa Sana na unayoyasema Ni kweli kabisa ,ila tatizo Hao wanapass oral ukimuuliza ilikuaje ukapass atasema Ni Mungu tu,. huku JF ndo tunapata madini mazuri Kama haya Kwa watu tusio wajua
 
Na hili ndio tatizo tangu nimeanza kushea mawazo yangu humu nilisema watu hatusemi ukweli, mtu ushapata kazi basi mpe mwenzio mbinu za kivita ata kama kwako hukuziona kama ziko serious huwezi jua zinaweza kuwa ni mpya kabisa kwa mwenzio

Naelewa mwanzo wakati ndo mnaenda kwenye interview wengi waga wanaficha vile wanavyovijua Kwa kuhofia kuongeza ushindani kwake mwenyewe, hiyo siwezi kumlaumu Sana mtu

Mimi nimepata kazi kupitia utumishi sio kwa sababu nilifanya vizuri sana lahasha kwa sababu waliofanya vibaya kuliko Mimi walikuwa ni wengi sana kiasi kwamba Mimi nikawa na unafuu

Na hicho ndio tunachotakiwa kujiandaa nacho, tufanye Maandalizi mazuri ili kama Bahati itatokea basi ikutane na maandalizi, bahati ni ngumu sana kuwatokea watu ambao hawakujiandaa

Kuna muda unakuta utumishi wanataka watu wenye ufaulu kuanzia let's say 60% kwenda juu ila watu pepa imewapiga na kupeleka ufaulu kuwa mdogo, itawafanye washushe cut off points basi jitajihidi wakishuka kwenye 50 uwepo, kwenye 40 uwepo, inapotokea bahati kama hiyo basi usiwe miogoni mwa waliopata 10% kwenye pepa
 
PSRS ni mkombozi wa watoto wa maskini...
Jana ubishi umeniisha...
Nimekuta dogo mmoja mtoto wa kigogo serikalini akisaini mkataba wa taasisi geto..
Anasema kapata kituo cha kazi.
Nimechoka
kuna taasisi X jana walitumiwa mikataba kwenye email wascan wasign den watume tena kwenye email ya HR.So mikataba walisignia vyumbani,Nawajua baadhi coz tulifanya nao interview walipata kwenye hiyo taasisi,Baadhi ni watt wa wakulima tu.
 
Mkuu we kuwa competent tu kwa sababu hupungukiwi kitu na wala sio dhambi, na mwisho wa siku kazi zina idadi ya watu ambao wanatakiwa hivo lazima kuna ambao watakosa na wapo ambao watapata

ila tu kitendo cha wewe kuwa competent kinatosha kabisa kukuweka kwenye kundi la ambao wanaweza kupata kuliko kundi la ambao wanaweza kukosa, na mwisho wa siku ata ukocompetent pia unazidiana, ndomana kila mtihani lazima awepo wa Kwanza na wa mwisho haijarishi wamekutanishwa the Best est of the Best

Mwisho wa siku kama ulianzia mwanzo wa hii mada utakuwa unaelewa ni u competent upi tunaongelea, unaweza kuwa competent katika fani yako ila uko shallow katika ku deliver, hapa tunaongelea kuwa competent katika kudeliver ata kama uko shallow kwenye Material

Watu wengi wanakosa kazi kwa sababu hawana uwezo wa kujielezea haijarishi unajua vitu au hujui vitu, na haijarishi ulimuomba Mungu wako au hukumuomba, kama we hujui we hujui tu hakuna miujiza hapo

Interview ina Mambo mengi sana lakini kubwa ni namna gani utaweza kujicontrol, ni namna gani utaweza kuovakamu pressure and Fear during Oral interview, kuna watu kwenye oral anasahau kila kitu hadi background yake kisa tu kupanick

Hawatokwambia ila kuna ambao akiulizwa maswali akapaniki anaanza kulia, mwingine sauti haitoki, mwingine anaganda kuangalia juu tu ili akumbuke points ila wapi, mwingine ataanza kukata kucha kwa Meno, mwingine atajisalimisha Tu kuwa ameshindwa anaomba atoke

Sasa wewe ukishajua hayo huwa yanatokea chukua hiyo fursa na ifanyie kazi, jitajihidi uwe competent kwenye kuzungumza,usipanick ata kama swali hulijui kwa sababu calmness itakuwa kujibu swali linalofata, usipanick kwenye swali la kwanza ata la pili pia utapanick

Kula buku kuhusu basics knowledge Katika fani yako, hasa vitu ambavyo likely unajua utaenda kufanya ukipata kazi,jua majukumu yako yote kisha ingia YouTube kucheki ni namna gani unaweza kuwa competent kwenye kuzungumza,cheki gesture ambazo zitakusaidia kulower blood pressure,cheki body language and posture cheki unaweza vipi kuwa relaxed during interview

Hivi vitu wakuu huwezi kuvipata kwenye Bible wala Qur'an tukufu, huwezi kuvipata kwa prophet wala Ostadh, Mungu hawezi kubadili 25% iwe 60%, Mungu hawezi kukupa uwezo wa kuongea kingereza kwenye chumba cha interview ilhali we hujui, hivi vitu lazima uwekeze Muda wako kuvitafuta na ndio vitakavyokutoshautisha na wengine

saizi wahitimu tumekuwa wengi sana Nchi hii na Ajira ni chache Kwahiyo bila kuwekeza kwenye Maarifa yenye tija tutabaki tunalia na bahati Tu, tutabaki tunalia na Ridhki Tu na bahati mbaya almost 70% ya wahitimu tunategemea kuajiriwa na sio kujiajiri kutokana na background zetu, sasa kama ukweli ndio huo kwanini uende kwenye interview ukiwa Mweupe kama unaenda kwenye Harusi

Interview ngumu zipo private sector, kama utajiandaa vizuri interview za Serikali ni very Friendly, ziko open sana na nyepesi sana ispokuwa ni mazoea tu hatuna ya kuongea kingereza, kujielezea kwa kingereza, na kufanya mitihani kwa Oral, kwa wale ambao mitihani yao vyuo vikuu ilikuwa lazima ni Theory, practical and Oral watakubaliana namie kuwa hizi Mambo kwao wanao rahisi kwa sababu walishazoea

Kwahiyo ni either mtake au msitake ila ukweli utabakia pale pale, tunapenda sana kupeana lugha za kufarijiana kama watoto wadogo vile,kwa mawazo ambayo tunayaendekeza tutaendelea kujenga kizazi cha kushindwa kila siku na kujipa matumaini kupitia Mungu, Maskini tunafeli sehemu ndogo sana nayo ni MINDSET
Chief nakukubali sana kwa madini unayotoa humu, sidhani kama kuna sehemu nyingine mtu anaweza kukupa elimu ya bure kama hii.

Yani kikubwa utumishi ni kutoboa kutoka written kwenda oral huko yani aisee afe kipa afe beki lazima kieleweke. Watoe tuu nafasi nyingi tuongeze received hii 2024 na sisi ambao tupo nje tuingie ground kukimbiza...
 
Back
Top Bottom