El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
hizo post haziwahusu ma veterani 🤣 🤣Ishu ya umri vp walizingatia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo post haziwahusu ma veterani 🤣 🤣Ishu ya umri vp walizingatia?
Hata sehem ya kuatach hakuna hicho chet cha jkt kwa alie na degree,sijui kwa ass.investigatorTangazo la mwaka jana jkt walikuwa wanazingatia kwa assistant investigation officers. Ila upande wa degree walikuwa hawazingatii.
Ila hili tangazo la mwaka huu naona wanahitaji uwe umepita jkt hata kama unadegree ila ni vizuri mtu kujaribu
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Hivi cheti cha darasa la VII huwa wanakizingatia? Mana toka nimalize sijawahi kukifuata.
Yaan ukiwa unajaza details zako utaona kitu ambacho ni lazima wamewekea nyota,standard seven haijawekewa star kama una apply mchunguzi mkuuHivi cheti cha darasa la VII huwa wanakizingatia? Mana toka nimalize sijawahi kukifuata.
Yaan ukiwa unajaza details zako utaona kitu ambacho ni lazima wamewekea nyota,standard seven haijawekewa star kama una apply mchunguzi mkuu
Usijidanganye vigezo vyote vnazngatiwa,written unafanya ata oral unawez kufka ila utatemwa kwnye oral vyeti vnakaguliwa ukiw kwny oral pale na jeshiMmmh hpo nshafeli sasa na ukiwa nacho unakiweka wap sasa maana sehem ya kuapply sion sehem ya kukiweka, au unaenda nacho ukiitwa kwenye usaili?
Sio jeshi ni maafisa ya takukuru mzee.Usijidanganye vigezo vyote vnazngatiwa,written unafanya ata oral unawez kufka ila utatemwa kwnye oral vyeti vnakaguliwa ukiw kwny oral pale na jeshi
Ni huzuni..tuendelee kunywa mtori pengne nyama zipo chini.tz sio sehemu salama tenaa kwa jobless
[emoji23][emoji23]kumbe wale hawakua wanajeshiSio jeshi ni maafisa ya takukuru mzee.
Mkuu naingia kwenye account ya taesa inagoma, nisaidie tafadhali namna ulivyopata interviewMi nilikuwepo Dom naona matokeo bado hawajaweka
watu Kama hawataki kupewa moyo tena!Lijalo litakua limeshibashiba jobless wote waandae nauli lolote linawezekana
IT alichofanyia Dah!!!!matumain yanazidi kudidimiapdf pdf haya sasa mnaona mambo hayo.. [emoji1787] [emoji1787]
kwa mwendo huu....watu Kama hawataki kupewa moyo tena!