Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

“Tatizo nadhani siyo PSRS bali ni Serikali yenyewe!! PSRS kumbuka ni wakala tu anayefanya kwa niaba ya waajiri katika utumishi wa umma. Mwajiri huomba kibali cha kuajiri serikalini, serikali kupitia wizara ya utumishi hutoa vibali vya kuajiri kwa maana ya kwamba fedha ya mishahara na mchakato wote inaingizwa kwenye bajeti ya mwaka husika. PSRS wanaanzisha mchakato wa kutafuta waajiriwa kwa kutangaza nafasi za kazi na kufanyisha usaili. Tatizo linakuja mahali ambapo Halmashauri husika haijapewa hilo fungu la kuiwezesha kuajiri watumishi wapya!!. Halmashauri zote hazipewi fedha hizo kwa pamoja!! Sababu ni kwamba Serikali haijafanikiwa kupata pesa yote iliyotarajiwa kupatikana kutokana na kodi!! Kwa hiyo inalazimika kutoa pesa kidogo kidogo kwa kadri inavyopata makusanyo ya kodi na haina ujanja mwingine zaidi ya makusanyo ya kodi.

Kwa mfano MDA&LGA walitangaza ajira mwezi wa 5 mwaka 2022. Hiyo pesa ilikuwa imepangwa kwenye bajeti yake ya 2022/2023. PSRS waliitisha usaili wake mwezi wa pili mwaka huu 2023!! Ikaanza kuita watu kazini kidogo kidogo kwa kadri halmashauri zinavyokuwa tayari kuwapokea kwa kuwezeshwa kuwalipa mishahara na stahiki zingine!! Usilaumu wakala (PSRS) afanyaye kwa niaba ya waajiri. Lakini pia usiwalaumu waajiri maana hawajawezeshwa bado kuwapokea waajiriwa wapya wote kwa mkupuo!! Lakini pia usiilaumu Serikali maana haina namna nyingine ya kupata pesa zaidi ya kodi na mikopo/misaada. Kama serikali haijapokea kodi kama ilivyotarajia, haina ujanja mwingine zaidi ya kusubiri. Mchawi mkubwa ni mlipa kodi na mkusanya kodi (TRA). Bado watanzania walio wengi hawapendi kulipa kodi kwa wakati na kwa ukamilifu. Sasa wakija TRA nao kwa baadhi ya watumishi wao kukosa uaminifu hupokea kitu kidogo (rushwa) kwa wafanyabiashara ili wawasaidie kukwepa kulipa kodi kwa wakati na kwa ukamilifu!!. SULUHISHO LA KUDUMU: Watanzania tuone fahari kulipa kodi kwa ukamilifu na kwa wakati. Kinyume cha hapo, tutasubiri sana!! “

kuna mtu mmoja alisha wahii kukomenti hivi👆,

Swali why waitishe usahili angali wanajua serikali haijajipanga bado, wasubiri bajeti zikiwa sawa katika wizara na sehemu zingine srikalini ndo watoe kitu kimenyoka bila ubabaishaji!,
Kuliko kuonesha kwa uma serikali inatoa ajira kumbe mnaenda kujazana kwa data base bila kutolewa kwa wakati angali unajua fika tu siku za mwanadamu kuishi anazijua Mungu mwenyewe, unajikuta unakufa angali unasubiri placement 😁
 
Kuna mtanzania aliwahi kusema hivyo,ila bado sio point ya kuaminisha watu kwa mtu aliye somea Engineering, sheria, udakitari, huwezi mpanga kwa hii point akakuelewa, tena Engineer ndo kabisa hakuelewi hapo kwa ishu ya planning, implementation hata design wamefali
 
Mkuu omba Mungu utapata...wakati wako ukifika utapangiwa...
Unaweza kuwa unalalamika alafu wakakuonyesha Database ukakuta ww oral ulipata 60 na kuna raia 50 wana 75+ kada kama yako...
Omba Mungu usilalamike
Shida sio kukosa au kupata shida ni kuweka mambo sawa kwa wadau wa ajira wote si bora ukose ujue moja tu si ndo sheria ya vita kufeli au kufaulu basi
 
Utumishi dodoma imebadilika...hii kwa niliyoyaona dodoma..
1: wamekagua vyeti vizuri sana..hata wale ambao wanatatizo waliruhusiwa kufanya paper kwanza alafu ndio wataenda kurekebisha...hii ajabu
2: Cutoff imekuwa 50, yaani database administrator tulikuwa 162 hv na practical tukawa 100...hii ajabu
Wanatia moyo wa kurudi dodoma
sema prac mmekandwa sana
 
sema prac mmekandwa sana
Kikubwa unapata uzoefu na unajifunza...
Prac ilkuwa na maswali manne masaa mawili...
Mawili scenario s...moja E-R diagram ya college management system with queries na mwisho automated backup script which perfoms backup at a certain time interval...show the output file at different intervals...
Ukimaliza hili paper unamshukuru Mungu
 
Dodoma gharama za malazi na usafiri zipo juu sana ukilinganisha na Dar...
Siku 3 kwa 15k kulala tu...usafiri ndio shida kabisaaaaa
Naona PSRS mitihani ya Dodoma ianze saa nne sio saa moja
Kweli juzi mimi nimegharamika sana na bado nikakandwa sawasawa[emoji23]!!. Naomba saili zifanyike kikanda tu!! Hii inanufaisha wa Dar,Moro, Singida etc Mimi wa Kagera NAUMIA SANA!!
 
Kikubwa unapata uzoefu na unajifunza...
Prac ilkuwa na maswali manne masaa mawili...
Mawili scenario s...moja E-R diagram ya college management system with queries na mwisho automated backup script which perfoms backup at a certain time interval...show the output file at different intervals...
Ukimaliza hili paper unamshukuru Mungu
kama ungekuwa na prac za nyuma hili pepa ungetoboa maswali yao huwaga hayohayo
 
Back
Top Bottom