Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Tujitahidi kuwa seriously wakuuPortal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujitahidi kuwa seriously wakuuPortal
Wameweka kwenye akaunt, i hope wataweka pdf pia kwenye tovuti soonTujitahidi kuwa seriously wakuu
Hiki ndicho ninachojiuliza....Mbona walisema usahili saivi ni kidigital Kila wilaya. Sasa mbona tunarudi kule kule kwenda Dodoma tena. WHY? PSRS NAOMBA MTOONEE HURUMA ZA GHARAMA ZA KUSAFIRI
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Ingia kwenye account yako mkuuTujitahidi kuwa seriously wakuu
Itakuwa mpaka wale watu wa tehema walio fanyiwa usaili kupitia mfumo wa atitude test wa kigital wapangiwe vituo vya kazi(placement) katika kila kituo kitakocho kuwa kinafanyiwa usahili ili wasimamie hizo sahili zitakazo kuwa zinafanyikaMbona walisema usahili saivi ni kidigital Kila wilaya. Sasa mbona tunarudi kule kule kwenda Dodoma tena. WHY? PSRS NAOMBA MTOONEE HURUMA ZA GHARAMA ZA KUSAFIRI
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 utumishi utawawezaMbona walisema usahili saivi ni kidigital Kila wilaya. Sasa mbona tunarudi kule kule kwenda Dodoma tena. WHY? PSRS NAOMBA MTOONEE HURUMA ZA GHARAMA ZA KUSAFIRI
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Kunani tena😃🤣 🤣 utumishi utawaweza
siunaona jamaa anashangaa utumishi walivyozindua mfumo wa kidigitali alafu interview zinafanyika analojia. 🤣 🤣Kunani tena😃
Saiv jina kama umepata kazi linatoka kwenye portal? NI website au kwenye apps?Wameweka kwenye akaunt, i hope wataweka pdf pia kwenye tovuti soon
Ulitumia web browser inafunguka?WADAU app yangu haijafunguka kwa miezi mitatu now. Shida nini
Mm kwangu inafunguka MkuuWADAU app yangu haijafunguka kwa miezi mitatu now. Shida nini
Yap inafungukaUlitumia web browser inafunguka?
Mbona walisema usahili saivi ni kidigital Kila wilaya. Sasa mbona tunarudi kule kule kwenda Dodoma tena. WHY? PSRS NAOMBA MTOONEE HURUMA ZA GHARAMA ZA KUSAFIRI
Sent from my Infinix X6816 using
Alikuwa anatania wakati anasema hivyo...😆😆😆😆...Mbona walisema usahili saivi ni kidigital Kila wilaya. Sasa mbona tunarudi kule kule kwenda Dodoma tena. WHY? PSRS NAOMBA MTOONEE HURUMA ZA GHARAMA ZA KUSAFIRI
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Alikuwa anatania wakati anasema hivyo...😆😆😆😆...
Jobless tunapita vipindi vigumu sanaaa...
Mungu atutetee ....
Mkuu kwema? Kazi isonge mbelelakini hebu vuta picha kwa hizi hustle uje usikie kuna mtu alikulambia asali kwa namna yoyote ile.si utamla nyama ndugu yangu [emoji1787] [emoji1787]
kwema ndugu yangu.kazi iendelee mpaka kielewekeMkuu kwema? Kazi isonge mbele
Naam naingia web mara ya 10 ivi kwa saa plus kucheza AVIATORkwema ndugu yangu.kazi iendelee mpaka kieleweke