El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
🤣 🤣Naam naingia web mara ya 10 ivi kwa saa plus kucheza AVIATOR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣Naam naingia web mara ya 10 ivi kwa saa plus kucheza AVIATOR
Nadhani kila jambo ambalo serikali inapanga wanakuwa katika majaribio na kuna Changamoto wanaona na wanakuwa wanatafta namna ya kuzirekebisha.Alikuwa anatania wakati anasema hivyo...😆😆😆😆...
Jobless tunapita vipindi vigumu sanaaa...
Mungu atutetee ....
Kweli...Nadhani kila jambo ambalo serikali inapanga wanakuwa katika majaribio na kuna Changamoto wanaona na wanakuwa wanatafta namna ya kuzirekebisha.
Mfano kada zote za jana utakuta zina coordination ngumu ya kusimamia usaili vituo vya mkoani tofauti na kuwaita watu wote Dodoma. Kwa upande wangu naona ni Changamoto za kawaida tu ambaye ameitwa ajitahd afike. Narudia ule usemi wa ikiwa unaona elim ni gharama jaribu ujinga.
Mapambano Mpaka unakula kodi wanayolipa wenzako sio jambo rahisi.
Tupambane kufika Dodoma wakuuu
Nuksi kiaje mkuukuna engineering nyingine nuksi
ukisoma mpaka upate ajira ni mpaka mungu aingilie katiNuksi kiaje mkuu
usahili barua inakubalika ya serikali za mtaa ila kwenye kuchukua barua pale asha rozi migiro ya placement barua haikubaliki so usimchanganye huyo anataka usahilKuna mtu niliwahi kukutana nae tumeenda kuchukua barua ya placement walimkatalia kumpa barua licha ya kuwa na barua ya serikali ya mtaa pamoja namba NIDA walimwambia aende akalete kiapo kinachoonesha hiyo namba NIDA ipo sahihi jina lake
amesha saini bado kuweka tu kwenye webKatibu asaini pdf leo tudumishe muungano sote...
Saiz hutustui!kuna pdf uko
Akili zake mshikaji anazijua mwenyewe aiseeSaiz hutustui!
Kwahyo IT ndio anafel...
😀Ushaona eehSaiz hutustui!
Kada yoyote Mungu lazima ahusike mkuu utaftaji tuliouchagua mgumu huu kwa nguvu zetu atutoboi kirahisi sema consistence ndio kila kitu.ukisoma mpaka upate ajira ni mpaka mungu aingilie kati
kweliKada yoyote Mungu lazima ahusike mkuu utaftaji tuliouchagua mgumu huu kwa nguvu zetu atutoboi kirahisi sema consistence ndio kila kitu.
tutakuja kuuanakuna pdf uko
Wewe ni shoga wa jf unatafuta bwanayaani wewe unatafuta kazi halafu kuandika hujui.wapigwa pumbu kweli weye [emoji38] [emoji38] [emoji38]
shoga babaako kumaa weweWewe ni shoga wa jf unatafuta bwana