No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Bungeni juz juz walitoa tamko kuhusu ajira...pdf lilitoka limeshibaWametoa tamko gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bungeni juz juz walitoa tamko kuhusu ajira...pdf lilitoka limeshibaWametoa tamko gani
Madereva jeJumatatu kesho IT Tunaomba watendaji vijiji usiwape nafasi. Wapotezee kwa muda Ndugu yetu IT
Nauliza tena, tamko gani?Bungeni juz juz walitoa tamko kuhusu ajira...pdf lilitoka limeshiba
Fuatilia bunge ww...waziri kasema wamesainiwa kibali cha kuajir...Nauliza tena, tamko gani?
Nifuatilie bunge ili nijibu oral?!! Una umri gani?Fuatilia bunge ww...waziri kasema wamesainiwa kibali cha kuajir...
Usikae mbali sana na siasa...kuna mambo yanatoka humo oral..heheh
Unanichosha unachelewa kufikiriNifuatilie bunge ili nijibu oral?!! Una umri gani?
Kwakweli Huwa wanalamba asali kila siku. Ila mimi ningeomba IT awapotezeeDuh naona Makabi Lilepo na Utawala2025 mnawasagia kunguni wenzenu sasa hizo kada ndio hazikaagi database na mkeka ujao wamo wa kutosha tu
🤣 🤣 🤣Kwakweli Huwa wanalamba asali kila siku. Ila mimi ningeomba IT awapotezee
Mimi pia nipo kada iyo. Na nimekandwa mbili na oral Moja. So Kwa nilichokiona Kwa utumishi kuhusu kada wetu kaka penda kupitia notes, vitabu vya masomo mala Kwa mala kaka. Usitegemee kusoma labda Kwa magroup ya Whatsapp ambapo wadau wanatuma maswali uko. Uko kuweziada tu. Kikubwa penda kupitia mala Kwa mala. And don't forget to PRAY. Amini tutatoboa.human resource management/administration
Daa mkuu Mungu na Psrs wakuoneKada yangu ni Muuguzi .
Karbia kila mkeka unatoka kada yangu iko .
Nimefanya Written kadhaa oral mwaka jana mwezi wa nane mwajiri alikuwa Hospital kubwa tu nchini.
Kinwchoniuma ni kuwa rafiki zangu wote wa kada yangu waliofanya oral zilizopita wako kazini.
Ila mimi nilipofanya tu oral hata database
Nakuja DM mkuuWakuu vp kwema? Vp leo uhakika? Jobless wa sasa iv ata lonja hatuna
Tujadili kuhusu Forced labourWakuu vp kwema? Vp leo uhakika? Jobless wa sasa iv ata lonja hatuna
Mtafute Mungu umwombe ataanza kukuelekeza kupitia ndoto nani mchawi wakoKada yangu ni Muuguzi .
Karbia kila mkeka unatoka kada yangu iko .
Nimefanya Written kadhaa oral mwaka jana mwezi wa nane mwajiri alikuwa Hospital kubwa tu nchini.
Kinwchoniuma ni kuwa rafiki zangu wote wa kada yangu waliofanya oral zilizopita wako kazini.
Ila mimi nilipofanya tu oral hata database yetu haijawahi kukuguswa.