Mtu Mbadi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2024
- 403
- 457
Mungu atujalie jobless tulambe Asali hata Huku sasa..wanaaza kuachia ......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atujalie jobless tulambe Asali hata Huku sasa..wanaaza kuachia ......
Unatutisha mkuu...au ID nyingine ya T-painZilizonifikia Placement Mpaka June. Mwezi May mzima wale mlio na received jiandaeni kwenda Dodoma
Zilizokufikia kutoka wapi na umezipokea ukiwa wapZilizonifikia Placement Mpaka June. Mwezi May mzima wale mlio na received jiandaeni kwenda Dodoma
au pinacoladee wewe hujaizoea hii hali 🤣 🤣Joblessssssss unaona kawaid tu🤣🤣🤣
Ninahitaji ajira lakini upolisi hapana...
😄Ninahitaji ajira lakini upolisi hapana...
Taratibu taratibu..kama kidond kipo stage ya kuwasha washaau pinacoladee wewe hujaizoea hii hali 🤣 🤣
🤣🤣hapana ni shwaaaaa...ngj tubetiSiku ya Leo imekaa kpdf pdf
🤣🤣🤣 Na Leo litakuwa limeshiba haswaa haijawi tokea kama la Tamisemi🤣🤣hapana ni shwaaaaa...ngj tubeti
Usije ukawa disappointed bhana 😀🤣🤣🤣 Na Leo litakuwa limeshiba haswaa haijawi tokea kama la Tamisemi
🤣🤣🤣Usije ukawa disappointed bhana 😀
Labda za terminationwatu hawajaisha kule utumishi bado wanachua barua naskia kuna nyomi
🤣🤣🤣 Na Leo litakuwa limeshiba haswaa haijawi tokea kama la Tamisemi
Kwa placement ganiiiiiii za kujazana kuchukua baruaawatu hawajaisha kule utumishi bado wanachua barua naskia kuna nyomi