Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Kuna ule msemo unasemaga uwe unasalimia ili upewe dili unadhani wanakosea😂😂😂😂Wenzetu mnatoaga wapi hizi🥲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ule msemo unasemaga uwe unasalimia ili upewe dili unadhani wanakosea😂😂😂😂Wenzetu mnatoaga wapi hizi🥲
Hiyo tarehe ina nini mkuu?Mkitaka Muwe na amani tar 15/6
Kuna ule msemo unasemaga uwe unasalimia ili upewe dili unadhani wanakosea😂😂😂😂
naomba kujua hivi maeneo ya Written Interview yatatolewa wakati gani na kwa njia gani?maana katika portal sidhani kama kuna sehemu ya kudisplay hayo.AsanteMkitaka Muwe na amani tar 15/6
Maeneo kwa maana ya sehem ya kufanyia interview? Kama ni hivyo mbona kwenye portal unaoneshwa na kwenye pdf la kuitwa kwenye usajili pia utaonanaomba kujua hivi maeneo ya Written Interview yatatolewa wakati gani na kwa njia gani?maana katika portal sidhani kama kuna sehemu ya kudisplay hayo.Asante
Nimegair sahivi nataka taasisi au wizara😂Jaribu kuanza taratibu za kuhama uende sehemu nyingine(halmashauri nyingine).
Huo mchakato sio rahisi ila ukikomaa unaweza kuhama.
Subiri uthibitishwe kwanza kazini
Kama ni hizi written za online eneo utaandikiwa kwenye akaunti ya ajira portal utaandikiwa venue kulingana na address Yako ..na Huwa hawachelewi kama umeshaitwa bhs subiria siku tatu ama nne ukitembelea kwenye akaunti yako utaona tu venue .. Asantenaomba kujua hivi maeneo ya Written Interview yatatolewa wakati gani na kwa njia gani?maana katika portal sidhani kama kuna sehemu ya kudisplay hayo.Asante
Karibu wizarani sehemu bora kabisaNimegair sahivi nataka taasisi au wizara😂
Hata wiki hii tusahau tusubiri kwenye tar 10 10 hukoPdf tatu zilizo toka kwa mkupuo manafikili leo watoe tena sahau
NakutamaniaKaribu wizarani sehemu bora kabisa
Pdf leo lipo...kaa tayarHata wiki hii tusahau tusubiri kwenye tar 10 10 huko
Jina langu lipo?Pdf leo lipo...kaa tayar
😂😁Jina langu lipo?
😋😋Pdf leo lipo...kaa tayar
Unasema?Aisee ivi ndo wanatoa data base ya tar 19/6/2023
Database jina linakaa mwaka...kwahiyi kuanzia mwaka janaAisee ivi ndo wanatoa data base ya tar 19/6/2023