ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Siku za hapa nyuma vilienda hadi siku 10😅Hivyo vinazimika automatic nadhan baad ya siku 5 au 6🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku za hapa nyuma vilienda hadi siku 10😅Hivyo vinazimika automatic nadhan baad ya siku 5 au 6🤣🤣🤣
Tukeshe tena wakati wanibuLeo au kesho mkeshe mkiomba pdf loading, systematics probability
Kwa stress za PSRS zilivyonijaa sina shida kabisa🤣🤣, I'm moodless kbsaaUnakuwaje single upwiru unaupunguzia wapi?
Usiwe hivyo maisha yana mambo mengi ya kukisuprizeKwa stress za PSRS zilivyonijaa sina shida kabisa[emoji1787][emoji1787], I'm moodless kbsaa
Ila watu wana akili sana kustisha ajira zaidi ya miaka mitano ili mjazane wasomi wawe wengi ili wakianza ku recruit watu misiwe na viburi vya kazi ndo ilivyo fanyika miaka kadhaa hapo nyuma , nakumbuka enzi fulani walikuwa wanaenda vyuoni kusaka watu na hata private zilikiwa zinaoda watu kutoka vyuoni, leo hii unapata kazi kwa manyanyasho sana, ukiangalia sector za uma ndo manyanyasho yamejaa, hadi halimashauri watu wanavimbiana sana looh, sector za ulinzi ndo shida masimango sana tu, wizarani eti mwanasiasa naye hata cheti cha elimu hana anakuvimbia na kukukalipia afu hajui hata hiyo taaluma ili muladi aongee asikike!, pia na hata privete mishahara wanapunguza atakavyo boss na huna uwezo wa kuacha kazi, eti degree (elimu) yako ndo inakutesa!, dah njoga nikavune mazao yangu maharage mpunga ufuta na mahindi na matikiti alafu ole wako unipangie bei ya kuuza naenda kuuza hata kenya tu au visiwa vya moroco,Tukeshe tena wakati wanibu
Mkuu tuliza akili, uandike vizuriSheria za Tz zingine zina mkanganyiko ila watu wana hakiri za kutunga sheria ukipitia nyingi unabaki na maswali mengi sana, mtumishi wa uma hupaswi kusemea mabaya serikali yako ama kuichafua wanavyo dai, ndo maana mtu atapaza sauti huku nje na hasikilizi na akiingia ndani(akipata authority yoyote) katika utumishi wa uma utaona ananunua zipu anafunga mdomo anakaa kimia ila ananza kuipamba na kuinenea mazuri hata kama mambo yanaenda sivyo, anasahau aliko koto kulikuwa na wadau wake walikuwa wanapambana kama yeye alivyo pambana hadi kufanikisha na kuwasahau aliyo waacha nyuma, huo ni ujinga na sio Ethics bora
Itatuliaje sasa!Mkuu tuliza akili, uandike vizuri
Dhamana kubwa kuwatetea wanyonge!, wewe sio mnyonge?Itatuliaje sasa!
Mkuu tuliza akili, uandike vizuri
Changamoto ya ajira sio Tanzania tu ni janga la mataifa mengi sana kama sio yote, tunatofautia tu ukubwa wa tatizo kutokana na population na uchumi wa nchi husika. Zaman wahitimu walikuwa wachache kazi nyingi while now wahitimu ni wengi kazi chache so lazima haya yanayoendelea yatokee hata kama serikali ifanye nini.Sheria za Tz zingine zina mkanganyiko ila watu wana hakili za kutunga sheria ukipitia nyingi unabaki na maswali mengi sana, mtumishi wa uma hupaswi kusemea mabaya serikali yako ama kuichafua wanavyo dai, ndo maana mtu atapaza sauti huku nje na hasikilizwi na akiingia ndani(akipata authority yoyote) katika utumishi wa uma utaona ananunua zipu anafunga mdomo anakaa kimia ila ananza kuipamba na kuinenea mazuri hata kama mambo yanaenda sivyo, anasahau aliko toka kulikuwa na wadau wake walikuwa wanapambana kama yeye alivyo pambana hadi kufanikisha na kuwasahau aliyo waacha nyuma, huo ni ujinga na sio Ethics bora
Sawa ni kweli ila china na Tz wapi kuna population kubwa au Afrika ya kusini na Tz, utashi wa kutatua changamoto tukubali kuwa watu wenye dhamana Tz yetu bado sanaChangamoto ya ajira sio Tanzania tu ni janga la mataifa mengi sana kama sio yote, tunatofautia tu ukubwa wa tatizo kutokana na population na uchumi wa nchi husika. Zaman wahitimu walikuwa wachache kazi nyingi while now wahitimu ni wengi kazi chache so lazima haya yanayoendelea yatokee hata kama serikali ifanye nini.
Kwani hizo nchi ulizotaja hapo hazina changamoto ya ajira? Pia nimesema population na uchumiSawa ni kweli ila china na Tz wapi kuna population kubwa au Afrika ya kusini na Tz, utashi wa kutatua changamoto tukubali kuwa watu wenye dhamana Tz yetu bado sana
Halmashauri zimechachamaaJobless kaongezeni received huko halmashauri
Kwenye suala la Uchumi na population sio kingezo cha kuwafanya watu wenye dhamana kusingizia, hapo tunasema akituambia hivyo itakuwa ni ufinyu wa marifa, tengeneza postive strategies ili zitusaidie katika taifa, Mungu asha weka kila kitu katika taifa kinacho kwamisha ni uendeshaji. Hapo ndo tunataka good policy na strategy ili tufikie purpose ya wengi katika taifa na ziwe na postive outcomesKwani hizo nchi ulizotaja hapo hazina changamoto ya ajira? Pia nimesema population na uchumi
Kwenye suala la Uchumi na population sio kingezo cha kuwafanya watu wenye dhamana kusingizia, hapo tunasema akituambia hivyo itakuwa ni ufinyu wa marifa, tengeneza postive strategies ili zitusaidie katika taifa, Mungu asha weka kila kitu katika taifa kinacho kwamisha ni uendeshaji. Hapo ndo tunataka good policy na strategy ili tufikie purpose ya wengi katika taifa na ziwe na postive outcomes
Swala la uchumi wako unatakiwa kutengeneza strategies zako binafsi. Kuna mwanajamvi mmoja humu amewahi kuuliza kwanini kuna post nying sana za madereva, IT, technician na wasaidizi wa ofisini na majumbani. Siku zote kwenye taasisi au viwanda wasimamizi (Management level) huwa ni wachache ila watendaji (function level) huwa ni wengi. Sasa tatizo linakuja wasomi wengi tunakimbilia course za usimamizi zaidi kuliko utendaji ndio maana tukukosa ajira hata kujiajiri inakuwa ngumu. Angalia hata namba ya wahitimu vyuo vya ufundi na huko kwingine. Hoja yangu ni kuwa maamuzi ya maisha yetu yako kwetu zaidi kuliko serikalini, kuna makosa mengi huwa tunayafanya wakati wa kuchagua cha kusoma tunapoingia vyuoniKwenye suala la Uchumi na population sio kingezo cha kuwafanya watu wenye dhamana kusingizia, hapo tunasema akituambia hivyo itakuwa ni ufinyu wa marifa, tengeneza postive strategies ili zitusaidie katika taifa, Mungu asha weka kila kitu katika taifa kinacho kwamisha ni uendeshaji. Hapo ndo tunataka good policy na strategy ili tufikie purpose ya wengi katika taifa na ziwe na postive outcomes