El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mmmhhh labda ulikute zimazima kwenye pdf la call interview maana lile ndo jepes kutokea.Na ile sikukuu ya j3 mtu ndo ujikute kwa pdf,Jina zima zima yanii 😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmhhh labda ulikute zimazima kwenye pdf la call interview maana lile ndo jepes kutokea.Na ile sikukuu ya j3 mtu ndo ujikute kwa pdf,Jina zima zima yanii 😋😋
Sema huenda ikawa equal number of chance😁Nikisema nitaitwa mpiga lamri🤣🤣
Vp mkuu umepata za ndaaaaani ninNikisema nitaitwa mpiga lamri🤣🤣
Inakatisha Tamaa kusoma......Hapo kwenye deni, mengine tunafurahia, kukopa laha kulipa matanga, mmmh ila tutalipa….😁, tuipende Tz yetu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Na yule mchomeleaji bora kama alipata ajira, picha yake wanaipenda kweli yani!Ukiingia tu kwenye web unakuta picha ya jamaa anakucheka.... Anakera sana🥹
Ila kweli cover page imaanza na kiu ya wengiInakatisha Tamaa kusoma......
Bora ya Zanzibar tu hata cover page inakupa faraja /molali ya kusoma budget japo hujui hatima yako
Niliiona hii Pdf ila nikaogopa kuitwa mpiga ramliNikisema nitaitwa mpiga lamri🤣🤣
Tushukuru tu kwa yoteDuuuh hili pdf la tar 14/6 mbona halina mashiko. 😭😭
Naona kwenye link yao whatsapp hawajapost...Kuna keka zito wanaletaSikuizi kila tar 14 wanaanza kuachia pdf jamani wameanza leo fungulia bomba