Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
😀 😀 mwenye shibe siku zote hamjui mwenye njaaIla sasa hv wametuchoka kweli..pdf saa 12 jion kama tumekua waganga wapenda giza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 mwenye shibe siku zote hamjui mwenye njaaIla sasa hv wametuchoka kweli..pdf saa 12 jion kama tumekua waganga wapenda giza
Hapa uwezekano mkubwa wa kupata LGA na Wizara...naona taasis hazichukui sana😀 😀 mwenye shibe siku zote hamjui mwenye njaa
Za Taasisi naona wanajaza watoto wao kama walivyofanya TRA....Hapa uwezekano mkubwa wa kupata LGA na Wizara...naona taasis hazichukui sana
Za Taasisi naona wanajaza watoto wao kama walivyofanya TRA....
Ile database, na bado hawajatoshaTRA kuna watu juzi wameitwa kazini ila tangazo alikutoka cjui walichukua database.
Mkuu ndo kwanza nimeamka niingie saiti saidia fundi sasa maana mtaji wa kuuza miwa ulikata[emoji3], kuna mpya ganihaya TBC wametoa ajira uko
hakuna jipya ndugu yangu we soma advertisements izo then apply kazi then uchome nauli yako bure 🤣 🤣Mkuu ndo kwanza nimeamka niingie saiti saidia fundi sasa maana mtaji wa kuuza miwa ulikata[emoji3], kuna mpya gani
hakuna cha database isiyokuwa na uwazi hapo waseme tumeita tena watoto wetu tunacovery mapito tuliopita miaka mitano nyuma nyie wengine mkajiajiri tunawaletea tozo juu ya tozoIle database, na bado hawajatosha
huko tra sio pakujisumbua kufanya usahili kabisa ni matumizi mbaya ya fwezahakuna cha database isiyokuwa na uwazi hapo waseme tumeita tena watoto wetu tunacovery mapito tuliopita miaka mitano nyuma nyie wengine mkajiajiri tunawaletea tozo juu ya tozo
Hapa mbona wote wamefeli haiuna aliyefika 50😀😀😀kumbe wanchukuaga adi 30
Sawa mkuu ntaingia nikimaliza kupakia zege saa 12[emoji3][emoji3]hakuna jipya ndugu yangu we soma advertisements izo then apply kazi then uchome nauli yako bure [emoji1787] [emoji1787]
🫠🫠sawa tuTusubir halmashaur zetu
Mida imefika..tusubir🫠🫠sawa tu
🤣🤣🤣kazi ipo aiseeMida imefika..tusubir
Sku izi si mpakasaa 12Shwaaaa
Wenye mamlaka ....Wanatunyima Usingizi kwa joblessMlivyo tulia sasa jobless nmmh😂