Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahahah Utakutana na watu had yule wa MSD
Sahvi huu uzi umekuwa wa vichekesho na kuulizia placement yale madini ya ki a wizy,mwifwa,hayapo tena inabidi mwenyewe urudi post za 2022 kurudi nyuma utazipata 😁😁😁 kinyume na hapo utaumbulia post za mchizi T pain😀😀
Na wengine kuulizia placement basi
 
Yan saiv watu wanapambana wenyewe na material yao wamejifungia ndani
 
NAOT wako kimya hawajatoa tena toka 2022[emoji16][emoji16]
Baada ya sisi walitoa nafasi moja March 2023, then wakaja kuchukua watu 10 kutoka Database waliofanya mikando ya MDAs & LGAs.

NOTE: Hamna taasisi yeyote inayokuwa na constant number of employee kwa muda mrefu, kuna kustaafu na kutangulia kwa muumba, so magepu yanakuwepo muda wowote, na muda wowote linaweza kutokea jambo
 
Sahvi huu uzi umekuwa wa vichekesho na kuulizia placement yale madini ya ki a wizy,mwifwa,hayapo tena inabidi mwenyewe urudi post za 2022 kurudi nyuma utazipata 😁😁😁 kinyume na hapo utaumbulia post za mchizi T pain😀😀
Na wengine kuulizia placement basi
zamani watu walikua wanapeana madini coz utumishi walikua wanaeleweka :ALERTA: :ALERTA:
 
Sahvi huu uzi umekuwa wa vichekesho na kuulizia placement yale madini ya ki a wizy,mwifwa,hayapo tena inabidi mwenyewe urudi post za 2022 kurudi nyuma utazipata [emoji16][emoji16][emoji16] kinyume na hapo utaumbulia post za mchizi T pain[emoji3][emoji3]
Na wengine kuulizia placement basi
huu uzi Utumishi wa zamani ulikuwa bora maana utumishi nao walikuwa wanaeleweka njoo utumishi wa Sasa.

Mkeka wanatoa kama dozi ya panadol.

Maajira yamejazana ya halmashauri tu.

Taaisisi zenye asali hakuna tena
 
Back
Top Bottom