Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utawala2025 kaza moyo ,dunia hii inatufunza mengi...
Mimi nilimaliza 2018 nikala shavu sehem flan hv...simu zilkuwa zinaita sana na watu wengi nimewasaidia na wengine niliwakopesha hela..
Nilkuwa na marafiki kibao, leo hii simu inakaa mpaka week hakuna mwana hata mmoja ata wakusema anipige tafu laki hv nisukume siku...
Tujikaze tu ni Mungu anatuonyesha watu walivyo
 
dah watu wanakuona mtu ukiwa na kitu tu.hapo mungu anakuonesha watu jinsi walivyo siku akiruhusu upate usirudi nyuma
 
Eee Mungu tukumbuke wanao kwenye database
 
Attachments

  • Screenshot_20240128-175503-1.jpg
    Screenshot_20240128-175503-1.jpg
    62 KB · Views: 8
SIKU NAENDA KUCHUKUA BARUA YA UTUMISHI,
nakumbuka siku naenda kuchukua barua kuna ndugu yangu mmoja yupo dodoma ni bamdogo ofcoz, nilimpigia cm kumuomba nifikie kwake ili kesho asubuhi kuna mambo yangu nayafatilia, nilifanya kumficha kama naenda kuchukua barua ya kuripoti kazini, sikumwambia naenda kufanya nini maana huwa anajua nafanya tu interview then narudi dsm. Huwezi amini yule mzee aliniambia kasafiri lakini hakuwa kasafiri, jioni taarifa ilisambaa sanaaaa kwa ndugu ikiwemo yeye, usiku saa 4 alinipigia cm niende ila nilishaamua nilale nje ili asubuhi niamkie Asharose, kwaiyo nilipakia shabiby nikafika saa 12 jioni dom nikaomba nilale pale ofisini kwao hadi kesho niondoke maana sikuwa na ela ya kulala gesti.
kuhusu yule mzee nilimjibu tu nimepata sehemu nyingine kwa rafiki yangu kwaiyo nitalala uko. Ila kwa yote ayo sikuwa najutia nilijua ni mapito tu. Asubuhi nilitafuta daladala hadi pale njia panda bahati nzuri nikakutana na mzee mmoja anatembea kwa mguu nikaomba anielekeze hadi ofisi ya utumishi akaniambia naye anapita njia iyo iyo tukaelekea nae kwa mguu ni mbali ila nilikuwa sichoki kutembea maana ninachokifata ni jambo la maana sanaaa na lenye furaha sanaaaa kwangu. sikuwa na njaa wa kiu toka jana saa 12 nile kwenye basi sikuwa na fikra nyingine yoyote zaidi ya kupata barua yangu. Tulitembea sanaaaaa kama ushachukua barua ya utumishi ukipanda daladala unashushwa njia panda then pale unaweza kuchukua bodaboda hadi kwenye iyo ofisi yao. Tulitemebea na yule mzee toka apo mpka ofisi ya utumishi na mimi sikuwa nimechelewa sanaaaaaa nilifika kati ya mtu wa tano ivi au sita tukawasubiri na wengine wafike ili barua zitoke kwa pamoja. Hakuna furaha niliipata kama iyo siku naambiwa fungua barua yako uangalie kama majina yako yako sawa, aise kuna raha sanaaaaaaa.
Sasa yule mzee ananitafuta hadi leo niende tu nimsalimie maana baadae niliwasiliana na mwanae akaniambia baba katoka ila atarudi nikamwambia msalimie tu nitatafuta siku nije kuwaona. ila mtu wa kweli kwenye maisha yako ni mzazi/mlezi, mke/mume na wadogo zako wa tumbo moja au familia moja.
Kwenye kupambana na ajira rafiki wa kweli ni.

°mzazi
°mke/Mme

Wengine tumwachie Mungu.
 
Exactly sema umenitamanishaaa🤤🤤
 
dah uyo bamdogo wako ndez kweli.alafu sometime hata ndugu wa tumbo moja wanakuaga mandez
 
Baba yako mdogo naye ana angukia kwenye kundi la ndugu zako wa karibu naye ni familia yako! Dunia imebadilika sana sana! Huyo msamehe tuu! Watu wengi wakiwemo ndugu huthamini watu wakiwa na kitu…watakuheshimu ukiwa na kazi au pesa! Hivyo msamehe tuu Mungu alitaka kukuonesha kuwa usimtegemee binadamu! Hongera
 
Familia ni
°wazazi
°mke /Mme
Hawa ndo wanaweza wakafurahia mafanikio yako
 
Baba yako mdogo naye ana angukia kwenye kundi la ndugu zako wa karibu naye ni familia yako! Dunia imebadilika sana sana! Huyo msamehe tuu! Watu wengi wakiwemo ndugu huthamini watu wakiwa na kitu…watakuheshimu ukiwa na kazi au pesa! Hivyo msamehe tuu Mungu alitaka kukuonesha kuwa usimtegemee binadamu! Hongera
Ahsante sanaaaa kiongozi, saivi napigiwa simu sanaaaa na makesi mengi napewa mimi niya solve
 
Back
Top Bottom