Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hizi interview ni lazima uwe na PC ?
Hujakutana kabisa na hii poster mitandaoni?
IMG-20240826-WA0002(1).jpg
 
Kuna muda nikiwa nasoma huu uzi, natamani uwe na comments nyingi nikijipa imani nitakutana na habari njema 😔
Never give up naamini mda wako utafika mwenyezi Mungu anagawa ridhiki kwa mda wake.

Nb status ziwe selected for oral both app and web
 
Hv ikiwa selected for oral interview ina maana upo kwenye database, yn ulifaulu oral ila hukupata nafasi ya kuajiriwa?

Mana h ishu hua siielewi kabisa.
 
Ukiona selected for oral apo placement mda wowote ila ukiona not selected for oral baada ya oral ujue umepigwa ndoige au umekandwa
Na apo inatakiwa uangalie kwenye app kwenye web huwa aibadiliki.

Hakuna kitu kinauma kama not selected for oral baada ya oral apo jua ni
Mama jeni bye bye aka mkando Nina uthibitisho wa kutosha na hili.
 
Na apo inatakiwa uangalie kwenye app kwenye web huwa alibadiliki.

Hakuna kitu kinauma kama not selected for oral baada ya oral apo jua ni
Mama jeni bye bye aka mkando Nina uthibitisho wa kutosha na hili.
Tuna Selected for Oral
Haijawahi kubadilika
Mwaka haujaisha
Na Sasa tupo kwenye usaili wa kada ileile.
 
Ukiona selected for oral apo placement mda wowote ila ukiona not selected for oral baada ya oral ujue umepigwa ndoige au umekandwa
Na apo inatakiwa uangalie kwenye app kwenye web huwa aibadiliki.

Hakuna kitu kinauma kama not selected for oral baada ya oral apo jua ni
Mama jeni bye bye aka mkando Nina uthibitisho wa kutosha na hili.
Na mwenye not selected for practical interviews na wakati Hana option ya practical. Hii nayo imekaje
 
Back
Top Bottom