Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mzee mmoja mlevi alisikika akisema "Acheni papara na msiwe na haraka hivyo. Kama mngekua na haraka sana mngeingia kwenye PDF zilizopita maana hata humo kada zenu zilikuemo" 😆

Wacha tuvute uradi huku tukisubiri mikeka mizuri mizuri isiyo ya Halmashauri wala Serikali Kuu.​
 
Niwakumbushe tu ndugu zangu mnaosaka ajira walio vyuoni na mlio na wadogo zenu vyuoni kuwa hali ya ajira katika taifa hili ni mbaya mno tena isiyoelezeka, mfano nlichokiona kwa hizi ajira za walimu mfano simple tu ,Tangazo la ajira lilitoa nafasi 184 kwa walimu wenye degree ya Kiswahili, lakini cha ajabu pdf la walioitwa usaili ni 28202. Hapo means nyomi ya watu 28018 ni wasindikizaji. Note, za kuambiwa changanya na zako ushauri wangu watu wasijikite sana kutafuta elimu kwa nyakati hizi hasa wale wanaotarajia kuajiriwa
 
Wengi wana masomo mawili nahisi hiyo hesabu igawanywe kwa mbili
 
Hii n nn tena wakuu

Screenshot_20241016-140346.png
 
Kuna wengine inagoma na kuandika incorrect log in!! Nadhani ni mchezo mchafu unachezwa hapa!! PSRS toeni tamko!!
Hata afya ilikuwa inafanya hivyo, jua kuna updates zinaendelea ndio maana wanaiweka undermaintanance kwa muda then wanaachia isitoshe itaenda hivyo mara kwa mara mpaka mtakapoanza intervyuu zenu. Kuweni wapole, wanaenda wanaifunga na kuiachia
 
Back
Top Bottom