Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
YEs, kama ilipangwa kwa ajiri yako itakufikia tu,tena wanakula shavu taasisi kubwaMwaka mzima ukute watu washakata tamaa kitu inatiki saiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YEs, kama ilipangwa kwa ajiri yako itakufikia tu,tena wanakula shavu taasisi kubwaMwaka mzima ukute watu washakata tamaa kitu inatiki saiz
Watu wamepelekwa MNH penye buyu weweKa pdf ka leo ni kakiwaki flani hivi[emoji3061]
Hamna mwenye shuhuda leo?
ok!DAtabase ya 2023 mwezi september duuh🙌🙌
Sawa ila wamesota kitaa hawa, maana naona sana sana ni database 😁😁Watu wamepelekwa MNH penye buyu wewe
Bandika banduaWaliopata walete ushuhuda. Janabi ameshaita watu wake huko
Isingekua afya mbona tungeshatafutana humu😂Utumishi wameamua
Mikeka imekaa kimkakati zaidiIsingekua afya mbona tungeshatafutana humu😂
Buyu la asali ilo, hivi TAMISEMI na WIZARA wapi kuna asali nono? Tukiachana na taasisi and agencyWatu wamepelekwa MNH penye buyu wewe
Wizara labda uwe Makao Makuu.Buyu la asali ilo, hivi TAMISEMI na WIZARA wapi kuna asali nono? Tukiachana na taasisi and agency
Haijawahi kutokea hiliMaraa papuuuu pdf la ma IT 200 wameitwa kazini kama wa afyaa
Watu wa Telecom Engineering wasitusahau humo, hata nafasi 80 😎😎Maraa papuuuu pdf la ma IT 200 wameitwa kazini kama wa afyaa
Ndoto😁Mara Pa Utumishi wameachia mkeka TRA wa Database...
Wizara labda uwe Makao Makuu.
Ukiwa RRH napo si haba ila sio kama HQ.
TAMISEMI inashika mkia otherwise kituo kiwe mjini penye wigo mpana wa side kuhustle
COPY AND PASTEHabari za Asubuhi ndugu na wanajambi wenzangu. Ni muda sana sijaweka bandiko hapa JF. Majukumu na kazi za watu zinabana sana kusema ukweli. Naomba niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni mtumishi katika moja ya Taasis za serikali katika Manispaa "X" mkoa mmoja maarufu kama Kanda Maalum. Nimeajiriwa huu mwaka wa Tatu sasa nipo napiga kazi. Katika miaka miwili iliyopita nikiwa kama mtumishi wa serikali chini ya wizara ya OR-TAMISEMI nimeshuhudia watu wakilalamikia na Wizara hii kuwabagua watumishi wa Afya walioko chini ya wizara hii. Mambo machache naweza taja ambayo toka nimeingia kazini sijawahi kulipwa na sijui ni lini nitalipwa ni pamoja na;
Nilijaribu kuwafuata Viongozi wakadai frdha hazitumwa na serikali. Changamoto hizi nilizozitaja huwezi sikia kwa mtumishi wa Afya aliyeko chini ya Wizara ya Afya. Mpaka inafika muda najilaumu kwanini nisijgekaa tu mtaani huenda labda ningepata kitu cha Kufanya. Hi inasababisha kukosa motisha ya kazi. Hebu waza unaingia kazini usiku unakesha na wagonjwa lakini bado linapokuja suala la stahiki kama On call haziji kwa wakati.
- Extra-duty
- On call
- Posho za likizo
- Fedha za Kujikimu (Hizi zilichelewa sana)
Kuna wale walionitangulia wanasema wamekua wakiomba kwenda kusoma vibali ni shida kupata. Na hata ukipata bado recategorization inacheleweshea sijui shida iko wapi? Juzi kazi Waziri mwenye dhamana alitoa maagizo juu ya kucheleweshwa kwa Malipo ya fedha za Kujikimu za Ajira Mpya. Wakati huo huo, Watumishi wapya waliopata Ajira chini ya Wizara ya Afya walipata mapema sana.
Je, shida iko wapi? Kama hili la watumishi kupata stahiki zao basi Watumishi hawa warudishwe MoH. Watumishi wa Afya walioko TAMISEMI wanafamilia majukumu sawa tu hao walioko MoH. Waziri mwenye dhamana anapambana ila bado hizi changamoto haziishi. Hebu ifike mahali watumishi hawa wawe chini ya Wizara ya Afya tu.
Mambo haya yanapunguza morali ya kazi na hata wakati mwingine kupelekea kupungua kwa ufanisi na hata kupelekea Wananchi kupata huduma Mbovu na kutukana watumishi hao.
Kuna wakati nawaelewa wale waliokua wanakataa kuripoti vituoni. Kituo upamgiwe huko ndani ndani Mawe matatu kwenye Zahanati. Unafika kituoni unakuka hakuna nyumba, eneo lina shida ya maji wakati mwingine ukakaa wiki nzima bila maji lakini unavumilia. Kwenda kujiendeleza napo shida. Wakubwa mnataka watu wabaki na elimu zao zile na waangamie huko wafe wakiwa masikini na watoto wao wafe kwa utapia mlo?
Hebu hili liwafikie wahusika. Lakini pia ningeepeweshwa kwanini hospitali za Mikoa Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati ziko OR-TAMISEMI na sio MoH. Na huku ndio kumejaa wale wazee wa Unanijua mi nani?