Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
Inaonekana database wameisha au wapo wachache ambao hawawezi kutimiza idadi wanayotaka muhimbili so nadhani baada ya interview watakaopita watachukuliwa pamoja na wachache waliobaki database au kama hawapo wakachomoka kama walivopiga sahiliMuhimbili National Hospital (MNH) wametangaza kazi hizo hizo zilizokuwa zimetangazwa na MDA & LGA kwa kada za afya. Hii ina maana kuwa huko kwenye data base wamekomba na kumaliza kabisa hivyo kulazimika kutangaza tena. Kuna mtu alisema sehemu nyingi ya placement chini ya wizara ya afya zilikuwa kutoka database, ndio maana wamepangwa mikoa ambayo hawakuchagua. If that is the case tusubiri LGA (halmashauri) na zenyewe ziteme!