Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Inshallah imani inaponya, kati ya kitu kilichotaka kunipoteza, nilipomaliza chuo nikakutana na kale ka skendo au kausemi ka wahitimu wengi kwamba ajira hamna, sijui mpaka uwe na mtu huko ndo unaweza kupata, eeh bwana eeeh nami nilijaa kwenye mfumo nikarudi kwetu bhana🤔Lakini maisha yaliponiponda na zile kero za nyumbani😌 Mala ooh naomba unisaidie kuosha vyombo🙄 n.k n.k, baada ya hapo ilibidi nijiulize swali moja " Hivi nimesikia story tu kwamba siwezi ajiliwa mpaka niwe na mtu kule Je, nimejaribu? Uhakika ninao wa hayo maneno? Nimeanzaje kuamini sijaanza fanya utafiti mwenyewe?" Baada ya hayo maswali machache kati ya mengi niliyojiuliza nikageukia Jamii forum ( jamii forum huwa nakimbilia sana kupata majibu ya baadhi ya maswali kwa sababu humu uwezo wa kupata ushauri bila nyodo ni kugusa na huku unakutana na baadhi ya watu wanaopitia unayopotia wewe Kwahiyo mtu akikushauri anakua na Experience) eeh bwana eeh sinikakutana na huu Uzi, nikaanza kufuatilia mdo mdo na hapo kipindi hicho nilikua nahangaika na akaunti yangu Ajira portal maana kila nilipokua najaza taarifa asilimia zilikua hazipandi bali kuishia 70% kumbe nilikua nasahau kuweka cheti cha form four 😁 baada ya kukumbuka hilo na kukiweka mambo yakatiki buana asilimia zikasoma 92🤗 nami nikasema "Unyama "😎 sasa huu uzi ukazidi kunijaza kifua nikajikuta kumbe nilichelewa 🥴 ilikua mwezi wa kumi na moja kama sio wa kumi na mbili 2023 zikatoka nafasi kwenye kada yetu na zilikua 20 MDAs and LGAs, ooh nikasema hawa naanza nao nikaaply ikakubali baada ya hapo mwezi wa pili tarehe 20 nikafanya usaili wangu wa kwanza serikalini😁( kwenda kuomba Hela ya usafiri kwenda dodoma kwa mzee alinambia " Sawa nakupa lakini sidhani kama utatoboa" nae alikua na kale ka Imani ka kijinga kanakopoteza wengi😂 kimoyo moyo nikasema nitakuprove siku moja😎)eeh bwana eeh kale ka presha kakaniharibia buana mpka natoka kwenye chumba cha usaili najisemea rohoni huku nikikumbuka usemi wa huu uzi kwamba "Nimekandwaaa"😃, tena nikasema kwamba naanza kuisahau Dodoma sitokuja kukanyaga tena huku🙄🤔baada ya kufika nikajishauri huku uzi huu ukizidi kunipa moyo kwa uchangiaji wa wadau hasa shuhuda za watu humu😃 Karoho kakajaa tenaaaa mala TANAPA hawa hapa wanataka watu 15, nikajaa kwenye mfumo, mchakato ukakamilika wa saili hapo hapo nikiwa nimemwambia mungu wangu kwamba safari ya TANAPA asinitupe bali awe nami bega kwa bega🙏🙏na kweeli mwenyezi Mungu amekua nami bega kwa benga mpaka nimepata nilichomuomba na kuambatana nae🤗

Hii safari yako inamafunzo mengi sana ndani yako, ongera tena na tenaa.
 
[emoji23][emoji23]Mshua anachekelea tu, meno yote nje leo namwomba nauli anakubali bila kupinga, anauliza sh ngapi namwambia mabei ya kwenda wala hata hawaziii[emoji23][emoji23][emoji23]Oyaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi ishi naye hivyo, kashajihakikishia kutunzwa uzeeni
 
Inshallah imani inaponya, kati ya kitu kilichotaka kunipoteza, nilipomaliza chuo nikakutana na kale ka skendo au kausemi ka wahitimu wengi kwamba ajira hamna, sijui mpaka uwe na mtu huko ndo unaweza kupata, eeh bwana eeeh nami nilijaa kwenye mfumo nikarudi kwetu bhana[emoji848]Lakini maisha yaliponiponda na zile kero za nyumbani[emoji18] Mala ooh naomba unisaidie kuosha vyombo[emoji849] n.k n.k, baada ya hapo ilibidi nijiulize swali moja " Hivi nimesikia story tu kwamba siwezi ajiliwa mpaka niwe na mtu kule Je, nimejaribu? Uhakika ninao wa hayo maneno? Nimeanzaje kuamini sijaanza fanya utafiti mwenyewe?" Baada ya hayo maswali machache kati ya mengi niliyojiuliza nikageukia Jamii forum ( jamii forum huwa nakimbilia sana kupata majibu ya baadhi ya maswali kwa sababu humu uwezo wa kupata ushauri bila nyodo ni kugusa na huku unakutana na baadhi ya watu wanaopitia unayopotia wewe Kwahiyo mtu akikushauri anakua na Experience) eeh bwana eeh sinikakutana na huu Uzi, nikaanza kufuatilia mdo mdo na hapo kipindi hicho nilikua nahangaika na akaunti yangu Ajira portal maana kila nilipokua najaza taarifa asilimia zilikua hazipandi bali kuishia 70% kumbe nilikua nasahau kuweka cheti cha form four [emoji16] baada ya kukumbuka hilo na kukiweka mambo yakatiki buana asilimia zikasoma 92[emoji847] nami nikasema "Unyama "[emoji41] sasa huu uzi ukazidi kunijaza kifua nikajikuta kumbe nilichelewa [emoji3061] ilikua mwezi wa kumi na moja kama sio wa kumi na mbili 2023 zikatoka nafasi kwenye kada yetu na zilikua 20 MDAs and LGAs, ooh nikasema hawa naanza nao nikaaply ikakubali baada ya hapo mwezi wa pili tarehe 20 nikafanya usaili wangu wa kwanza serikalini[emoji16]( kwenda kuomba Hela ya usafiri kwenda dodoma kwa mzee alinambia " Sawa nakupa lakini sidhani kama utatoboa" nae alikua na kale ka Imani ka kijinga kanakopoteza wengi[emoji23] kimoyo moyo nikasema nitakuprove siku moja[emoji41])eeh bwana eeh kale ka presha kakaniharibia buana mpka natoka kwenye chumba cha usaili najisemea rohoni huku nikikumbuka usemi wa huu uzi kwamba "Nimekandwaaa"[emoji2], tena nikasema kwamba naanza kuisahau Dodoma sitokuja kukanyaga tena huku[emoji849][emoji848]baada ya kufika nikajishauri huku uzi huu ukizidi kunipa moyo kwa uchangiaji wa wadau hasa shuhuda za watu humu[emoji2] Karoho kakajaa tenaaaa mala TANAPA hawa hapa wanataka watu 15, nikajaa kwenye mfumo, mchakato ukakamilika wa saili hapo hapo nikiwa nimemwambia mungu wangu kwamba safari ya TANAPA asinitupe bali awe nami bega kwa bega[emoji120][emoji120]na kweeli mwenyezi Mungu amekua nami bega kwa benga mpaka nimepata nilichomuomba na kuambatana nae[emoji847]
Jumla umefanya mbili tu boss?
 
Jumla umefanya mbili tu boss?
Yeah mbili tu na kuna jamaa zangu wanne wao walifanya moja na wakapita lakini wao walichokuwa wamenizidi mimi ni kwamba wao bado walikua wapo chuo kwahyo ilikua rahisi kwao kupata material na mimi kipindi hicho nipo kitaa nakumbuka kipindi hicho nilihangaika sana kuyapata maana chuo huwa kuna tabia mbovu ya kutupa material hasa ukimaliza semester nadhani nyote humu ni mashahidi kwenye hili, kwahiyo ukiwa na material na ukapiga msuli mapema yaani ukaanza kujiandaa mapema( ukijiandaa mapema faida yake kubwa ni kuondoa presha) kutoboa ni kugusa tu
 
Back
Top Bottom