Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jiandae na practical za Electrical machines kudadadeki ,madude ya blocked rotor - free rotor nk
Machine 1 and 2 na electronics modules na practicals zake
Halafu hayo mazaga yanasahaulika kishenzi ,mi Sikumbuki hata
Sasa na hiyo practical maanina , na zile practical za Electrical si za mchezo mchezo kuna watu watakula zero hapo.
Hizi kazi mimi sikuomba .
Umeitwa Temesa au TAA ?
Kila la heri
hiyo interview ni ya trc mambo ya telecom sio electrical
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa nimewaza hapo tumechanganyika na watu wa telecom,hyo interview naona itabase na telecom tu asee mambo mukidee,,Temesa na TAA bado hawajaitaa
alafu maswali si multiple choice huwezi kupata zero usijali..
 
Hello
Telecom Engineers nko wapi wapendwa wangu😅mje basi dada yenu naomba madesa tulambe asali wote TRC
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa nimewaza hapo tumechanganyika na watu wa telecom,hyo interview naona itabase na telecom tu asee mambo mukidee,,Temesa na TAA bado hawajaitaa
Yah !
Na hapo ndio huwa mtihani , watu sisi wa course Electrical & electronics Engineering , huwa tunakuwa considered kwenye kazi hata za Telecommunications Ila kwenye hizo interview wakibase Sana kwenye issues za signals au broadcasting deep , lazima watu wengi wa Electrical waliwe vichwa .
Watu wa Telecommunications pia kuna kazi ajira za Electrical Engineers huwa wanakuwa prefered na kuitwa kwenye interviews mfano hii migodi mikubwa wanaweza wakatangaza kazi ya Instrumentation Engineer na Hadi watu WA Telecommunications wanaingia kwenye interview Ila kipondo wanachokutana nacho huko kwenye interviews sasa ni kilio na kusaga meno ,maana wanakuwa hawapo deep kwenye baadhi ya issues nyingi tofauti na mtu ambaye alichukua major ya Electrical and electronics engineering.
 
kimbukiko huendi kwenye mpambano au hutaki kazi trc 🤣 🤣
Nishaota kipara na kitambi , navaa mashati kama ya Brother k sasa hivi ,
Panelists Tu wakiniona watatamani wakimbie room 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi kazi za TRC sikuomba na deni lenyewe la ERB sijalipa , hata kama ningeomba tu wasinge nishort list
 
tuko wengi mwanangu usijiskie mnyonge 🤣 🤣
 
Yah !
Na hapo ndio huwa mtihani , watu sisi wa course Electrical & electronics Engineering , huwa tunakuwa considered kwenye kazi hata za Telecommunications Ila kwenye hizo interview wakibase Sana kwenye issues za signals au broadcasting deep , lazima watu wengi wa Electrical waliwe vichwa .
Watu wa Telecommunications pia kuna kazi ajira za Electrical Engineers huwa wanakuwa prefered na kuitwa kwenye interviews mfano hii migodi mikubwa wanaweza wakatangaza kazi ya Instrumentation Engineer na Hadi watu WA Telecommunications wanaingia kwenye interview Ila kipondo wanachokutana nacho huko kwenye interviews sasa ni kilio na kusaga meno ,maana wanakuwa hawapo deep kwenye baadhi ya issues nyingi tofauti na mtu ambaye alichukua major ya Electrical and electronics engineering.
kuna pepa ya instrumentation nilifanyaga kiwanda x ile pepa kidogo nizimie
 
Hahaaa mambo ya PID ,mixer feedback loop , scada , plc
Maanina kama hujanywa hayo madude deep lazima uone chenga
mwanangu pepa ilikua inakuandika program za plc na macalculation kama yote alafu hamna calculator halafu simu tumekusanya.yaani ile pepa hata mkiigilizana lazima mfeli tu 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom