Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza unatakiwa utambue uwanja wa ndege unahitaji eneo kubwa la kutosha kwa ajili ya barabara ya kurukia na kupaki ndege.Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
For your information enzi hizo za ukoloni kipindi uwanja huo unajengwa, uzunguni ya Dar ilikuwa Kurasini, Kibasila na maeneo jirani.Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Duuh, uzunguni Kibasila??..For your information enzi hizo za ukoloni kipindi uwanja huo unajengwa, uzunguni ya Dar ilikuwa Kurasini, Kibasila na maeneo jirani.
Mbezi Beach, Masaki, sijui Mlimani City zilikuja baadaye sana. Airport haiwezi kuhama kufuata uzunguni mpya. Do your homework.
Kibasila pameharibiwa na waswahili nowadays hapakuwa pa kawaida enzi hizo pakiwa makazi mjerumani.Duuh, uzunguni Kibasila??..
Ilala ndio kuna Uchumi mkubwa na wakati huo uwanja unajengwa huko unakokuita kwa matajiri ilikua ni mapori tu. Uwanja upo kabla ya uhuru.Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
High Income hawahitaji kelele za MandegeSwali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Bora umejitetea nilishakuwa nimekuandalia mawe,pia labda nikupe mawazo yangu,ingefanyika hivyo huenda uwanja usingejengwa kabisa kwakuwa gharama ya ujenzi ingekuwa kubwa mno kumbuka wala kwa urefu wa kamba nawaongeza sifuri kumfidia akaridhika nakukubali nishughuli pevu kuliko kumfidia mzalendo halisi na mvuja jasho wa taifa letu.Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Matajiri wa Dar wanaishi wapi??..
Matajiri wengi waarabu/Wahindi wanaishi Upanga/MjiniMO anakaa Ilala??..
Hao ndio watu gani ndugu?Ili wapigiwe kelele?Kelele na vurugu ni kwa ajili ya akina kalumekenge na Mwajuma-takomoja.
Angalia the Guiness book of records mkuu.Hao ndio watu gani ndugu?
OkayAngalia the Guiness book of records mkuu.
Ilala hakuna makazi ya watu pale Karakata na Kitunda??Kwanza ni nchi gani ambapo Airport inajengwa wanapoishi matajiri? Airport hujengwa nje ya mji kiusalama,sehemu isiyo na makazi ya watu kwa kuwa ajali nyingi za ndege hutokea wakati wa kutua au wakati wa kupaa.Kuepuka madhara Airport nyingi duniani zipo mbali na makazi ya watu au nje ya mji
Watu ndio waliufuata uwanja, uwanja ulijengwa porini kabla ya uhuru , kule ilikuwa nje ya mji mbali na makazi ya watu.Ilala hakuna makazi ya watu pale Karakata na Kitunda??
Bunju na Boko Kinondoni sio nje ya Mji??..
Mapato ya Dar yanategemea Ilala.Ilala ndiyo kitovu cha uchumi wa Dar na ndiyo iliko serikali (Ikulu).pia ndiko ziliko bandari na Sgr.kinondoni ni starehe zaidiSwali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Tunazungumzia pato la mtu mmoja mmoja wakazi wanaoishi eneo husika na sio mayumba ya biashara..Mapato ya Dar yanategemea Ilala.Ilala ndiyo kitovu cha uchumi wa Dar na ndiyo iliko serikali (Ikulu).pia ndiko ziliko bandari na Sgr.kinondoni ni starehe zaidi
Hizi akili bado sana...Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Wakati unajengwa Mlimani city lilikuwa pori lenye ngedereSwali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;