Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
- Thread starter
- #61
Okay. I understand nowWakati unajengwa Mlimani city lilikuwa pori lenye ngedere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay. I understand nowWakati unajengwa Mlimani city lilikuwa pori lenye ngedere
Sawa mkuuKwanza unatakiwa utambue uwanja wa ndege unahitaji eneo kubwa la kutosha kwa ajili ya barabara ya kurukia na kupaki ndege.
Iisitoshe uwanja ulijengwa na wazungu enzi hizo Tanganyika haijapata uhuru hivo baada ya Uhuru Mwl Nyerere alikuja ongeza terminal 2 kwa kuwa tayari barabara ya kurukia ndege ilikuwepo na eneo lilikuwepo.
Pia tambua kuwa wakati uwanja huo unajengwa hakukuwa na makazi ya watu kama unavyoona.sasa ambapo watu ndiyo wamevamia eneo la karibu na uwanja.