Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi kwanza ikubali mambo kadhaa kama sita yaliyo muhimu ambayo kwa uhakika uwezekano wa CCM kukubali ni finyu sana.

Mambo kadhaa kati ya sita ambayo CCM itabidi ikubaliane nayo ni
1. Katiba mpya
2. Uchaguzi huru utakaoambatana na tume huru ya uchaguzi kabla hata ya 2029/30
3. Kuwajibishwa kwa waliohusika na mauaji ya raia October 29 na siku kadhaa mbeleni.
4. Uchunguzi huru wa mamia ya watu waliopotea kuanzia mwaka 2015
5. Kuachiliwa kwa wafungwa wote wenye kesi za kisiasa au zitokanazo na siasa na kesi hizo kufutwa.
6. Kukubali usaidizi huru kutoka nje kwa viongozi wastaafu wa Africa wanahoshemika ili kutengeneza mazingira ya maridhiano kuaminika.

Sioni kwa namna yoyote CCM ikikubaliana na mambo angalau matatu kati ya haya
 
Back
Top Bottom